Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
-
- #21
Kukurupuka na kushtukiza yanazaa maigizo piaDr. Magufuli hana haja ya kuambiwa na mtu kazi yake anaielewa vizuri na sasa inafanyika. Kwani kodi inayokusanywa sasa Kuna mtu amemwambia au amempeleka darasani? Tafadhali kaeni kimya nchi isafiswe maana ilichafuka Sana.
Katika maigizo hayo mwisho wa siku utanunua tu CDMaigizo Man
CD AMBAYO HAINA JINA SIHITAJI MAANA NI UKURUPUKAJIKatika maigizo hayo mwisho wa siku utanunua tu CD
Endelea na Rais wako wa mahaba pale mikocheni,CD AMBAYO HAINA JINA SIHITAJI MAANA NI UKURUPUKAJI
Tukae kwa Maigizo au kushtukizwa?Endelea na Rais wako wa mahaba pale mikocheni,
Kesho Rais wa JMT yuko Rwanda , awamu hii lazima mkae sana
Vipi yale maigizo ya Mabadiliko ambapo mlikuwa mnazungusha mikono?Kukurupuka na kushtukiza yanazaa maigizo pia
Waulize wale vijana 46 moja wapo ni we yalikua ni Maigizo? Hata type ya Jecha wanajua ukweli na Dunia inajua ukweli nani alishindaVipi yale maigizo ya Mabadiliko ambapo mlikuwa mnazungusha mikono?
Nyie bawacha halima mdee kawaharibu sana , tatizo ni kuwa hana mume na nyie mmeiga style yake ndio maana Akili zenu hazibadilikiTukae kwa Maigizo au kushtukizwa?
Naona kila anaowambia ukweli ni Bawacha mtasubiri sana mwaka huu maigizo yatawatokea puaniNyie bawacha halima mdee kawaharibu sana , tatizo ni kuwa hana mume na nyie mmeiga style yake ndio maana Akili zenu hazibadiliki
Endelea kusubiri , mafuriko
Sisi kesho tupo Rwanda kwrnye mkakati wa kujenga reli ya kati , nawashaur muandamane kama mlivyokuwa mnaandamana kwenye barabara za lami
Hao wanaoitwa wafanyakazi hewa ni boom linalosubiri kulibuka mtaa haudanganyiNi vigumu kufikiri kama taifa..kama unataguliza uchama...Juzi tu wakuu wa mikoa waliteuliwa wamesaidia tumepata wafanyakazi hewa ...tena wawajibike ..sioni logic ya utaifa sasa..
Nyie watoto mliokuwa juzi mna matatizo sana mlichofundishwa siasa ni za upinzani ni kupinga tuNaona kila anaowambia ukweli ni Bawacha mtasubiri sana mwaka huu maigizo yatawatokea puani
Huyo Ruth Mollel alikuwa katibu mkuu, Utumishi anaweza kueleza alifanya nini kuhusu watumishi hewa?
Huyu Magufuli naye si aliwahi kuitia hasara serikali baada ya kuwanyang'anya samaki wale wachina then wakaiburuza serikali kwenye mahakama za kimataifa na hivyo serikali ya JK kudaiwa fidia ya mabilioni ya fedha za madafu.
Laiti ungelijua unavyo tumiwa na wanamaigizo ungejionea hurumaNyie watoto mliokuwa juzi mna matatizo sana mlichofundishwa siasa ni za upinzani ni kupinga tu
Ona unachojibu sasa hadi huruma
Nakushauri soma Signature yangu hapo chini itakusaidia kuelewa
Hamna kazi maana hata mataifa ya nje wameshawaona mnavyofanya maigizoKAZI ITAKUWA KUMPIGIA KAMPENI LOWASSA 2020...!!
Maigizo ni hatari kwa WatanzaniaNonsense