UKAWA wamjibu rais Kikwete

UKAWA wamjibu rais Kikwete

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia kwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, wamemjibu Rais Kikwete wakisema watakuwa radhi kurudi Bunge la Katiba endapo kutafanyika taathmini na tafakuri ya kina katika kubaini sababu za kuvurugika kwa Bunge hilo na kuzitazama kanuni zinazolisimamia, pamoja na sheria ya mabadiliko ya katiba.

Pia UKAWA wametaka pawepo na makubaliano ya maandishi kwamba hakutakuwa na kauli za matusi, kudharauliana wala kejeli, bali kitakachojadiliwa ni maoni ya wananchi yaliyomo kwenye rasmu ya Tume ya Jaji Warioba.

Msimamo huo ulitolewa juzi na Mhe.Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipokuwa akizungumzia mchakato huo wa Katiba mpya Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya UKAWA kuwa wameombwa na Viongozi mbalimbali warudi Bungeni.

Alisema kuwa Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wamewaomba warudi kwenye Bunge hilo, lakini wai wametoa masharti kwamba kufanyike vikao vya pamoja vya kutathmini hali iliyojitokeza awali, kisha wawekeane utaratibu wa kufuata kimaandishi.

"Uwendawazimu ni kufanya mambo yale yale kwa kutumia watu wale wale na kwa utaratibu ule ule, halafu utegemee matokeo tofauti. Tumetoka kwenye Bunge la Katiba ambapo tumeona matusi, kejeli, dharau, ubaguzi wa hali ya juu na kupuuzwa kwa maoni ya wananchi, halafu mnatuita turudi kwenye Bunge lile lile tukatukanane kisha mtegemee kupata Katiba bora". Alihoji Mbowe.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, alisisitiza kuwa, hata wakikubaliana wakarudi kisha matendo yale ya awali yakajitokeza ikiwemo kupuuza maoni ya wananchi, hawatasita kutoka tena kwa lengo la kupigania kupatikana kwa Katiba bora yenye kuzingatia maslahi ya wananchi wote.

Mhe.Mbowe alisema kuwa, Wabunge wa CCM hawawezi kuhitimisha mchakato huu wakiwa peke yao, kwa kile alichoeleza kuwa, Katiba inatakiwa kuandaliwa na makundi yote ya jamii.

Chanzo:Tanzania Daima.
 
Mapepo ya jeuri, dharau, ubabe na kutumia vibaya uwingi wa CCM pamoja na JK kutoa msimamo wa chama chake ndo source ya matatizo yote hayo.
 
Hiyo ndiyo kauli thabiti,siyo zile za kutupia mpira MAPEPO eti viongozi wa dini waombee waombee nini na sababu zipo wazi za UKAWA kutoka bungeni?Inashangaza kundi la ccm kuharibu mchakato huu kwa makusudi.Mwenyekiti hajitambui kuwa kwa suala hili amezungukuwa na sekretariat yake ili katiba mpya isiwepo au isiharibu katiba ya ccm iliyopo.NA NYIE VIONGOZI WA DINI ACHENI KUUZA UTU WENU KWENYE MAONI YA TUME YA WARIOBA MLISEMA NINI?Wanasiasa wanawakumbuka ninyi wakati wa shida zao kutekeleza mambo yao ili watawale vizuri.Hembu waulizeni kwanza wametekeleza wajibu wao ipasavyo kabla ya kuja kwenu?
 
Wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia kwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, wamemjibu Rais Kikwete wakisema watakuwa radhi kurudi Bunge la Katiba endapo kutafanyika taathmini na tafakuri ya kina katika kubaini sababu za kuvurugika kwa Bunge hilo na kuzitazama kanuni zinazolisimamia, pamoja na sheria ya mabadiliko ya katiba.

Pia UKAWA wametaka pawepo na makubaliano ya maandishi kwamba hakutakuwa na kauli za matusi, kudharauliana wala kejeli, bali kitakachojadiliwa ni maoni ya wananchi yaliyomo kwenye rasmu ya Tume ya Jaji Warioba.

Msimamo huo ulitolewa juzi na Mhe.Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipokuwa akizungumzia mchakato huo wa Katiba mpya Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya UKAWA kuwa wameombwa na Viongozi mbalimbali warudi Bungeni.

Alisema kuwa Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wamewaomba warudi kwenye Bunge hilo, lakini wai wametoa masharti kwamba kufanyike vikao vya pamoja vya kutathmini hali iliyojitokeza awali, kisha wawekeane utaratibu wa kufuata kimaandishi.

"Uwendawazimu ni kufanya mambo yale yale kwa kutumia watu wale wale na kwa utaratibu ule ule, halafu utegemee matokeo tofauti. Tumetoka kwenye Bunge la Katiba ambapo tumeona matusi, kejeli, dharau, ubaguzi wa hali ya juu na kupuuzwa kwa maoni ya wananchi, halafu mnatuita turudi kwenye Bunge lile lile tukatukanane kisha mtegemee kupata Katiba bora". Alihoji Mbowe.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, alisisitiza kuwa, hata wakikubaliana wakarudi kisha matendo yale ya awali yakajitokeza ikiwemo kupuuza maoni ya wananchi, hawatasita kutoka tena kwa lengo la kupigania kupatikana kwa Katiba bora yenye kuzingatia maslahi ya wananchi wote.

Mhe.Mbowe alisema kuwa, Wabunge wa CCM hawawezi kuhitimisha mchakato huu wakiwa peke yao, kwa kile alichoeleza kuwa, Katiba inatakiwa kuandaliwa na makundi yote ya jamii.

Chanzo:Tanzania Daima.

- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz
 
Kwa umri wako wa miaka 60 ni aibu kuandika ulichoandika.

Mungu akusamehe maana hujui unenalo.

Mungu amemnyima Mzee Malecela mtu wa kufuata nyayo zake
 
Pepo kubwa wewe,

UKAWA wabunge46 what a shame?

Kama mnaweza mbona mnalialia UKAWA warudi?

kumbe hata sheria ya katiba mpya huijui?

Unajua madhara ya kutokuwepo kwa UKAWA kwenye hilo Bunge la katiba?

Soma hoja uelewe ili ujenge hoja, na ujibiwe kwa hoja.

Ok Ombewa mapepo wakutoke ujitambue kujenga hoja.
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz
Kwa heshima ya mzee Malecela na marehemu kakaako nakustahi lakini hivi utaacha lini mambo ya kitoto wakati we ni mtu mzima umri wako umeenda sana tofauti na matendo na maneno yako?
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Kwa umri wako wa miaka 60 ni aibu kuandika ulichoandika.

Mungu akusamehe maana hujui unenalo.

Mungu amemnyima Mzee Malecela mtu wa kufuata nyayo zake
Mkuu atakuwa na mapepo, inabidi mwenyekiti amsaidie kuombewa kwa maasikofu
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

Nafikiri Mzee Malecela anajuta kuwa na mtoto kama wewe. Tulitarajia una constructive idea kumbe wewe unarudia mipasho ile ile iliyowafanya UKAWA wakatoka bungeni. Yaani maoni kama haya yako yanapashwa yatolewe na mtu ambaye anatumia jina la bandia lakini sio wewe.

Tiba
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

Kubwa zima bichwa kubwa tumbo kubwa lkn akili hakuna tatizo mimba yako imetokana na mikesha ya mwenge.
 
- crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, ccm watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje katiba itapatikana tu, chadema ina wabunge 46 ambao hakuna katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa upinzani bila chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

le mutuz

bado mtoto sana kuchambua mambo
 
Le Mutuz, wacha kujivua nguo hapa. Kama hayo ni ya kweli mbona kila CCM anahangaika na UKAWA? Pinda anazungumzia UKAWA, Rais anazungumzia UKAWA .......... sasa kama hayo ni ya kweli mbona hamuuchuni maana wametoka wenyewe.
 
- Nyie mburulazzz jifunzeni lugha za wanasiasa wa Taifa Rais anayetaka mrudi mezani hawezi kusema in the public kwamba muombewe na wachungaji ina maana moja hawahitaji, mtatukana hapa mpaka mufe Katiba itaandikwa bila wabunge 46 Tanzania nzima wananchi Millioni 44 tutasumbuliwa na Wabunge 46 are kidding me or what subirini muone kimbunga kinachokuja, munamuamini Lipumba? Kwa nini kamfukuza Mtatiro si kwa sababu na yeye ana siasa za kitoto kama zenu subirini muone you mburulazzz Katiba ya Tanzania haiwezi kusimamishwa kwa sababu ya wabunge 46 nendeni mkaandamane huko le mburulazz

Le Mutuz
 
Kubwa zima bichwa kubwa tumbo kubwa lkn akili hakuna tatizo mimba yako imetokana na mikesha ya mwenge.

- Ndio tabia ya mlevi ulizaliwa kwa Mikesha ya mwenge unadhani ni wote, Chadema wabunge 46 mtazuia Katiba ya Wananchi 44 Millioni? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
kwa mustakabali mwema wa mchakato mzima wa katiba bado. UKAWA wanatakiwa pia kuangalia upya kanuni ya bunge ya kura ya wazi na siri,

nashauri hivi kwa sababu huu ndo mtego mkubwa kuliko hata kujadili sura ya kwanza na ya sita.

kwa mtu mwenye mtazamo wa mbali, utaona kwamba kuvunjika kwa bunge la katiba kwenye ibara ya sita na ya kWanza ni kama bahati ya mtende kwa ukawa na wananchi kwa ujumla dhidi ya hujUma ya MAHAFIDHINA WA ccm

kama mkutano wa bunge la katiba ukiendelea bila ya kanuni ya upigaji kura kuwekwa vizuri tutegemee hata ibara nyingine zenye maslahi kwa wananchi ambazo ccm hawazitaki hazitapita

kwa maana hiyo ccm si tu watatengua ibara ya kwanza na ya sita tu bali wataendelea kutengua ibara zote ambazo kwao wanahisi hazina maslahi kwa chama chao,

labda nitoe mfano. mdogo tu. kama kanuni ya upigaji kura itabaki kama ilivyo nini kitwazuia ccm kuikataa na kuichakachua ibara inayopendekeza mawaziri wasiwe wabunge??? au ibara zinazopendekeza kudhibiti na kupunguza madaraka ya raisi??

kwa vyovyote vile iwavyo bunge la katiba lilishapotea njia baada ya kupitisha kanuni mbovu kuwahi kuwepo tangu dunia iumbwe,

kwa watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri , ibara zinazobishaniwa mpaka kupelekea ukawa kuondoka ni
geresha tu au ni kama dalili tu za ugonjwa chanzo cha ugonjwa ni kanuni tu.
 
Kwa heshima ya mzee Malecela na marehemu kakaako nakustahi lakini hivi utaacha lini mambo ya kitoto wakati we ni mtu mzima umri wako umeenda sana tofauti na matendo na maneno yako?

- Wewe kwa umri wako unaingia hapa na majina ya bandia kutukana watu si ndio hasara kwa Taifa na baba yako, hebu nyamaza wewe mburulazzz!! ha! ha!

Le Big Show
 
Wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia kwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, wamemjibu Rais Kikwete wakisema watakuwa radhi kurudi Bunge la Katiba endapo kutafanyika taathmini na tafakuri ya kina katika kubaini sababu za kuvurugika kwa Bunge hilo na kuzitazama kanuni zinazolisimamia, pamoja na sheria ya mabadiliko ya katiba.

Pia UKAWA wametaka pawepo na makubaliano ya maandishi kwamba hakutakuwa na kauli za matusi, kudharauliana wala kejeli, bali kitakachojadiliwa ni maoni ya wananchi yaliyomo kwenye rasmu ya Tume ya Jaji Warioba.

Msimamo huo ulitolewa juzi na Mhe.Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipokuwa akizungumzia mchakato huo wa Katiba mpya Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya UKAWA kuwa wameombwa na Viongozi mbalimbali warudi Bungeni.

Alisema kuwa Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wamewaomba warudi kwenye Bunge hilo, lakini wai wametoa masharti kwamba kufanyike vikao vya pamoja vya kutathmini hali iliyojitokeza awali, kisha wawekeane utaratibu wa kufuata kimaandishi.

"Uwendawazimu ni kufanya mambo yale yale kwa kutumia watu wale wale na kwa utaratibu ule ule, halafu utegemee matokeo tofauti. Tumetoka kwenye Bunge la Katiba ambapo tumeona matusi, kejeli, dharau, ubaguzi wa hali ya juu na kupuuzwa kwa maoni ya wananchi, halafu mnatuita turudi kwenye Bunge lile lile tukatukanane kisha mtegemee kupata Katiba bora". Alihoji Mbowe.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, alisisitiza kuwa, hata wakikubaliana wakarudi kisha matendo yale ya awali yakajitokeza ikiwemo kupuuza maoni ya wananchi, hawatasita kutoka tena kwa lengo la kupigania kupatikana kwa Katiba bora yenye kuzingatia maslahi ya wananchi wote.

Mhe.Mbowe alisema kuwa, Wabunge wa CCM hawawezi kuhitimisha mchakato huu wakiwa peke yao, kwa kile alichoeleza kuwa, Katiba inatakiwa kuandaliwa na makundi yote ya jamii.

Chanzo:Tanzania Daima.

Warudi bila mashariti
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz

Mkuu mbona unakuja na miziki ambayo imepitwa na wakati? Tufanye la maana siyo..............
 
- Crying babies matusi na kejeli mlianza wenyewe halafu milipojibiwa mkaondoka, CCM watakuwa wendawazimu kuwaruhusu kuwatukana bila kujibiwa mtajibiwa tu tena kwa lugha mnayoonekana kuilewa sana yaani ya matusi mkitaka ustaarabu mtapewa lakini sio lazima mrudi kaeni huko nje Katiba itapatikana tu, Chadema ina Wabunge 46 ambao hakuna Katiba ya bongo inayowapa haki ya kuzuia mchakato kama hamuamini subirini muone, haiwezekani Tanzania tukashindwa kutengeneza katiba mpya kisa na mkasa wabunge 46 no way, tutatengeneza katiba na wabunge wengine wa Upinzani bila Chadema so mrudi msirudi haijalishi!1

Le Mutuz
Kweli hujielewi na pia hufahamu mahitaji ya katika ni kwa ajili ya nini.
 
Back
Top Bottom