UKAWA wamemwaga mboga rais Kikwete asimwage ugali hakuna cha kupoteza

sasa mzee wa Tezi dume si ndo atachanganyikiwa kabisa maana hajui la kufanya sasa... tutegemee kusikia karudi Marekani kupima BP

Ni ile ya wale shemeji zangu na wifi zangu,"Akimung'unya Nchale Akitema Nchele"Pakushika pana moto.Waswahili wanasema ...'Mdharau Mwiba Mguu huota tende" Vyama vya msimu hivi,na tuendelee kuviona vyama vya msimu,na mvua pia yaja kwa msimu!!!!!!!!!!!!!!!:smow::smow:
 
niliwahi kumsikia Wasira anasema CHADEMA kitakufa mwaka 2014... hivi huo mwaka haujafika?
 
niliwahi kumsikia Wasira anasema CHADEMA kitakufa mwaka 2014... hivi huo mwaka haujafika?

Nawe umechelewa,si imeshakufa zamani?Sasa hivi wanaizika.Au inakuwaje?Maana Nape,Nchemba hawa wote walishasema imezikwa,labda imefufuka hapo ndiyo ijapata picha maiti imefufuka,halafu ikapiga mvua ya mawe.
 
Na bado kashfa nyingine zinakuja.ESCROW LAZIMA CHA MOTO MKIONE,mmeiba vya kutosha,mmetudanganya vya kutosha uvumilivu sasa basiii

UKAWA WAKUSANYE DATA ZOTE KUHUSU KASHFA YA VIBALI VYA SUKARI JANUARY WATINGE NAVYO BUNGENI WAWASHE MOTO MWINGINE KASHFA HII INATOSHA KUIZIKA CCM MAENEO YOTE WANAKOLIMA MIWA NA TZ KWA UJUMLA. Iv hamumuoni CHIZA kila siku anajitetea kwenye TV kuwa nayeye analifatilia hilo?
 
sasa mzee wa Tezi dume si ndo atachanganyikiwa kabisa maana hajui la kufanya sasa... tutegemee kusikia karudi Marekani kupima BP

Tusimlaumu rais wetu mpendwa Profesa Dr. Kikwete maana bado anauguza kidonda. Akipona - kama upepo haujapita atatoa maamuzi mazito. Ikumbukwe aliwahi kumwuliza Magufuli - ana haraka gani ya kubomoa nyumba zilizo kwenye hifadhi ya barabara? Profesor Dr. Kikwete hana haraka. Ni kiherehere chetu.
 
mambo yanaweza yakazidi kuwa mabaya zaidi upande huo ambako mzani huu uananza kuegemea, kiasi kwamba hata hiyo coalition govt yaweza kuwa majaliwa!

vijijini mambo ni zaidi ya matokea haya; hata CCM walioshinda sehemu nyingi ni kwa margin ndogo sana.
 
Na bado kashfa nyingine zinakuja.ESCROW LAZIMA CHA MOTO MKIONE,mmeiba vya kutosha,mmetudanganya vya kutosha uvumilivu sasa basiii. Mpaka sasa rais hajielewi,sijui hata wanaomshauri wanashauri nini. Ukitaka kujua kuwa
Kikwete hajielewi ni kwamba,kuagiza mwakilishi siku ya maadhimisho ya uhuru wa Kenya kumuagiza Sitta ni ishara ya kuwa ikulu hapakaliki sawasawa. Mtu mwenyewe anavyopenda kuzurura na misherehe,ulitegemea akose?

Awamu ya NNE ileachia Uhuru wa media ikidhania inakuza demokrasia nchini

Makundi ya CCM yanakizika chama yakiongozwa na mafisadi mazawa akin a Mengi na Nimrod Mono

Proof of failure it is obvious

Campaign vyama pinzani viliendeleza baada ya uchaguzi mkuu

Uandishi wa katiba mpya aliukubali kichwa kichwa ili kuacha legacy na remembrance lakini itamtokea piano

Washauri wa Rais are corrupted na hata yeye hana nguvu tena
 
Rais usijali mwaya hawa watani zenu wanakuja kwa msimu tu,kwani haukumuona Kinana anajenga chama mpaka anaezeka nyumba za udongo vijijini? kumbe wanamchora na hata mie nilijiuliza mbona dira ya ujamaa na kujitegemea ilishauawa zamani ama ndo uchuro mgonjwa akija kufa siku hiyo ataamka akafagie uwanja kumbe ndo byebye ..nimeumia sana chama cha babu zangu kupigwa mieleke ya hivi,inauma sana!
 
Ni ile ya wale shemeji zangu na wifi zangu,"Akimung'unya Nchale Akitema Nchele"Pakushika pana moto.Waswahili wanasema ...'Mdharau Mwiba Mguu huota tende" Vyama vya msimu hivi,na tuendelee kuviona vyama vya msimu,na mvua pia yaja kwa msimu!!!!!!!!!!!!!!!:smow::smow:

WASIRA NA POSHO-20141031.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom