UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

Narudia tena, hebu twambie hiyo kazi inayofanyika, zaidi ya udikteta na sera za ukurupukaji ambazo hazina tija kwa Taifa.

Hata hiyo tofauti ya kiuongozi ya muda mfupi inayojionesha ni kazi.
Kinacholeta utofauti ni majina, we unaita udikteta, mi naiona ni kazi.
Ni mapema kufanya summative evaluation
 
Tangu azaliwe hajawahi kuchaguliwa kwa kula ya wananchi huyo
 
Tangu azaliwe hajawahi kuchaguliwa kwa kula ya wananchi huyo
Ndo hivyo Mkuu! Hajajua kuwa Uteuzi wa Rais unakoma pale Rais anapotoka Madarakani. But Professional yake itadumu hadi kifo chake. Why risk your professional?
 
Haijapata kutokea duniani kiongozi anayepambana na demokrasia akamaliza vizuri. Ni kujidanganya au wanaomshauri wanamdanganya.
Nawasikitikia wana ccm maana hawa jamaa hawana nia njema na ccm
 
Katakuwa kameolewa, that's why kanaitwa Tulia Ackson "Mwansansu"
Hiyo Mwansasu nadhani ni Jina la Mme.
Daaa kama kaolewa tumuombee huyo mumewe maana hata nyumbani huko hali si shwariii
 
Reactions: BAK

Kweli mwaka huu au miaka hii mitano watu wataisoma namba....upinzani mnayo kazi kubwa mno...amepatikana Rais mwenye msimamo, amepatikana Naibu Spika mwenye msimamo,madhubuti, kijana, mzalendo, na anayejua sharia... watetezi pekee wa upinzani walobaki kwa sasa ni wapinzani wenyewe na haki za binadamu,jumuiya ya kimataifa imejitoa kutetea 'uozo', ubishi, ujivuni...Watu wa nchi za magharibi wanataka nchi ambayo ni 'stable' ofcourse kwa maslahi yao...wameshausahau upinzani wetu hapa Tanzania...
 
Kamuulize JK atakueleza vizur.
Jk mwenyewe alikuwa na mihemko yake hatari alikosea formation mwenyewe. Akakutana kashatoka nje ya malengo yake kusign inv tena kajikuta kasahau password mchezo ukawa cheichei[emoji5] [emoji5]
 
Narudia tena, hebu twambie hiyo kazi inayofanyika, zaidi ya udikteta na sera za ukurupukaji ambazo hazina tija kwa Taifa.
Kurejesha nidhamu kazini
Kudhibiti matumizi ya fedha
Kuokoa fedha zinazotafunwa na watumishi hewa
Kuleta nidhamu katika demokrasia
N.k
 
Ndo hivyo Mkuu! Hajajua kuwa Uteuzi wa Rais unakoma pale Rais anapotoka Madarakani. But Professional yake itadumu hadi kifo chake. Why risk your professional?
Huyo hata akipata ajali njiani watu wanampita tu
 
Unahitaji kuwa na kiwango cha ukichaa kuwaongoza Watanzania
Umenena yote. Binadamu wa kawaida atafanya kama JK, kupaa hewani coz kuna vichwa maji sana nchi hii. Hata ingekuwa mimi bana Riz ningekula mitaa ya #10 Downing street kila mwezi. Watz ni much know.
 
Naamini mkulu anapitaga humu jamvini kwa njia yoyote yaani direct au indirect. Namshauri aisome mijadala ya jf kwa ustawi wa nchi yake. Hakuna majungu humu ni facts tu. Hao washauri wake hebu awapumzishe kidogo kwani wanampotosha. Nina wasiwasi kuwa wana hidden agenda kwani my instincts don't lies me. Siamini kama hii ndio haiba ya mkulu mcha Mungu eti uongozi wake uwe na kasoro nyingi hivi kisha ademand maombi na sala zetu. Hebu ajifungie na kusali rosari siku saba asubuhi na jioni amwombe Mama Bikira amsaidie kumuongoza ili atuongoze vema. Vinginevyo things are worse than he think. Ule muda wa kuisikiliza tv clouds asali ili Mungu ampe zile mbinu alizompa Musa.
Ione ile bajeti itakavyozidi kuwafanya raia maskini kuliko walivyo sasa. Sijui kama anajua kuwa kuna watu wanakula nusu mlo per day na kesho anadesh!?
 
Tatizo wabongo ni waoga wa changamoto, mazoea tupa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…