UKAWA wamchenjia Freeman Mbowe...

UKAWA wamchenjia Freeman Mbowe...

Status
Not open for further replies.

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada
ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba baadaye wajumbe walianza kuhoji alipo
kiongozi wao Freeman Mbowe.

Aliyekuwa wa kwanza kuhoji alipo Freeman Mbowe ni Profesa Abdallah Safari alisimama na
kuhoji alipo Mbowe hatua ambayo ilizusha minong'ono kwa baadhi ya wajumbe. Ilibidi Prof
Lipumba aanze kumpigia simu Mbowe ndipo akampata kwa shida. Hii inaonyesha alishakimbia
kikao hicho, kwani hata hivyo wajumbe wengi wa kikao hicho walikuwa wanachama na wafuasi
wa CUF na sio CHADEMA.

Mandla.
 
Hahaha...ni yale mawazo ya kukurupuka yanavyokuwa magumu kuyatekeleza
 
urafiki wa chadema na cuf ni wa mashaka sana kama ule wa kima na mamba
kiitikadi hawaendani cuf chama cha kidini cha waisam wenye siasa kali a.k.a UAMSHO
chdema chama cha mlengo wa kikristo na kichaga wakati cuf wapemba
mimi nawapa wiki mbili tu za URAFIKI WA KINAFIKI

R.I.P UKAWA
 
Ni hatari sana mtoto wa kiume ukiwa na mawazo hayo au bado unakaa kwa shemeji?
 
N:B Viongozi wa chadema hawafai kuaminiwa hata kidogo...
 
Waosha vinywawa Lumumba mlipotea sana...naona sasa mmerudi tena!!
 
Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada
ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba baadaye wajumbe walianza kuhoji alipo
kiongozi wao Freeman Mbowe.

Aliyekuwa wa kwanza kuhoji alipo Freeman Mbowe ni Profesa Abdallah Safari alisimama na
kuhoji alipo Mbowe hatua ambayo ilizusha minong'ono kwa baadhi ya wajumbe. Ilibidi Prof
Lipumba aanze kumpigia simu Mbowe ndipo akampata kwa shida. Hii inaonyesha alishakimbia
kikao hicho, kwani hata hivyo wajumbe wengi wa kikao hicho walikuwa wanachama na wafuasi
wa CUF na sio CHADEMA.

Mandla.

Naona umewatengenezea DEAL vijana wa Lumumba ili mpate fedha ya kutumia Jumapili ya Pasaka. Na leo ni Jumamosi sijui kama malipo yatatoka leo hivyo hesabuni mtapata mgao wenu J4. Mtakoma Pasaka mnakula kwa macho na mademu zenu watakwenda kumegwa na mabwana wengine.
 
urafiki wa chadema na cuf ni wa mashaka sana kama ule wa kima na mamba
kiitikadi hawaendani cuf chama cha kidini cha waisam wenye siasa kali a.k.a UAMSHO
chdema chama cha mlengo wa kikristo na kichaga wakati cuf wapemba
mimi nawapa wiki mbili tu za URAFIKI WA KINAFIKI

R.I.P UKAWA

wE NI****
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom