Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Kumbe kulikuwa na mzozo? Mi nilijua yalikuwa majadiliano tu..
Mbona Mzozo wa Urais CCM na Act bado hamjaumaliza?. Na Ubunge bado. Ndio maana wenzenu wameumaliza Mapema.
Kumbe kulikuwa na mzozo? Mi nilijua yalikuwa majadiliano tu..
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), umefanikiwa kumaliza mzozo wa kugawana majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
Chanzo:Tanzani Daima