UKAWA wamaliza mzozo wa majimbo

UKAWA wamaliza mzozo wa majimbo

mbona tulaiambiwa kuwa hamna mzozo, huo mzozo umezuka lini tena?
 
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), umefanikiwa kumaliza mzozo wa kugawana majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu.

Chanzo:Tanzani Daima
Ngoja uchaguzi ukaribie.
njaa ni mbaya sana.
Tusidanganyane hakuna asiyetaka
kutoka. Eti unapigania wananchi/wanyonge????!!!!
kwenye wenyeviti kuna sehemu UKAWA ilitakiwa kushinda.
Lakini sababu ya unafiki CCM walishinda...Kisa eti CHADEMA
walijiona wao wana wafuasi wengi kuliko CUF.
CUF wakaweka mgombea
CHADEMA nao wakaweka mgombea.
CCM ikashinda.
na ndivyo itakavyo kuwa kwa ubunge
 
Nilishashauri UKAWA waachane na biashara ya kugawana majimbo. ...
Sababu ziko wazi...
 
We naona huna jipya. Shida yako unataka tumchangie Mbowe kwa kwenda kununua TanzaniaDaima. Unatusomea vichwa vya habari za magazeti ili tufanyeje?
Nunua wewe usome kisha uandike hapa jf.

Uhuru wa maoni ni shidaaaa!
 
Mkuu Salary Slip mimi nadhani upo ndani ya UKAWA, hivyo ingekuwa vyema kama ungetupatia habari yenyewe badala ya kichwa cha habari kama kilivyosomwa kwenye magazeti.

Mkuu ni kweli lakini labda baadae nikipata gazeti husika nitaweka japo summary tu.

Hata hivyo,mtu mwingine yeyote baada ya kupata taarifa hii anaweza kutusaidia kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
We naona huna jipya. Shida yako unataka tumchangie Mbowe kwa kwenda kununua TanzaniaDaima. Unatusomea vichwa vya habari za magazeti ili tufanyeje?
Nunua wewe usome kisha uandike hapa jf.

Acha kupenda Ubwete, utatoa siku moja. Usafiri unaomba rift, hata gazeti la jero unataka kudesa?!
 
Hongera UKAWA. Wengi tulijua kuwa swala kugawana majimbo kilikuwa kigingi mbele yenu, kama mmefanikiwa kukiruka hiyo safi. Sasa kitu mpela-mpela mpaka magogoni
 
tuletee habari kamili kamanda kwani kwenye mgawanyo wote yalibaki majimbo 28 tu. mengine yote tayari mkuu
 
Ungetuambia mmeumalizaje huo mzozo ingependeza, ila kutuambia tu mmeliza haina mashiko kwetu.
Ushauri wangu jipange halafu uandike upya

Source ni gazeti Tanzania Daima, Nenda kanunue usome#
 
We naona huna jipya. Shida yako unataka tumchangie Mbowe kwa kwenda kununua TanzaniaDaima. Unatusomea vichwa vya habari za magazeti ili tufanyeje?
Nunua wewe usome kisha uandike hapa jf.

Ulilazimishwa kusoma? naona habari za UKAWA zinawawesesha magamba.Mwaka huu majangili, mafisadi na wapuuzi wote lazima tuwafurumushe kwenye ikulu yetu takatifu
 
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), umefanikiwa kumaliza mzozo wa kugawana majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu.

Chanzo:Tanzani Daima
Hata hawa wanandoa wanamzozo. Nilidhani wao wako salama ndo maana waliamua kujitenga na ccm na kuungana. Sasa hawa asubuhi tu wana mzozo je tukiwapa ridhaa ya kukaa jumba jeupe magogoni watafanyaje. Si watagombania hata gari la Rais!!!
 
Infact Ukawa hakukuwa na mzozo ila angeandika kukamilisha hatua ya kukubaliana kuhsu majimbo ya uchaguzi
 
habari kamili ni hii.....kulikuwa kumebaki majimbo 12 yenye utata ambayo vyama vitatu kwenye baadhi ya hayo majimbo kila kimoja kilitaka kiungwe mkono......kwa dsm yalibaki kinondoni,segerea,ukonga na kigamboni ...kumeundwa kamati ndogo inakwenda kutembelea hayo majimbo itakayoundwa na makatibu wakuu baaadae watakuja na suluhu kuwa chama kipi kisimame wapi katika hayo majimbo 12.......ikumbukwe kuna majimbo 239 na 50 ya zanzibar yamebaki hayo 12 tuuuu
 
Back
Top Bottom