Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,200
- 162,751
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), umefanikiwa kumaliza mzozo wa kugawana majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
Chanzo:Tanzani Daima

Hii habari nimeilata kama channel 10 walivyoisoma katika kipindi cha magazetini.Ungetuambia mmeumalizaje huo mzozo ingependeza, ila kutuambia tu mmeliza haina mashiko kwetu.
Ushauri wangu jipange halafu uandike upya
Hii habari nimeilata kama channel 10 walivyoisoma katika kipindi cha magazetini.
Hata hiyo heading ndio heading kwenye gazeti husika.
Tafuta copy yako kwa habari zaidi.
Hii habari nimeilata kama channel 10 walivyoisoma katika kipindi cha magazetini.
Hata hiyo heading ndio heading kwenye gazeti husika.
Tafuta copy yako kwa habari zaidi.
We naona huna jipya. Shida yako unataka tumchangie Mbowe kwa kwenda kununua TanzaniaDaima. Unatusomea vichwa vya habari za magazeti ili tufanyeje?
Nunua wewe usome kisha uandike hapa jf.
Nawe unajiita ThinkerWe naona huna jipya. Shida yako unataka tumchangie Mbowe kwa kwenda kununua TanzaniaDaima. Unatusomea vichwa vya habari za magazeti ili tufanyeje?
Nunua wewe usome kisha uandike hapa jf.
Mkuu Salary Slip mimi nadhani upo ndani ya UKAWA, hivyo ingekuwa vyema kama ungetupatia habari yenyewe badala ya kichwa cha habari kama kilivyosomwa kwenye magazeti.Hii habari nimeilata kama channel 10 walivyoisoma katika kipindi cha magazetini.
Hata hiyo heading ndio heading kwenye gazeti husika.
Tafuta copy yako kwa habari zaidi.