UKAWA wakubali kuwa CCM itashinda kwa Tsunami

UKAWA wakubali kuwa CCM itashinda kwa Tsunami

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
788
Reaction score
195
Vijana wengi waliokuwa wakiunga mkono ukawa wengi wamesema kuwa kweli CCM ni chama dola na kitapata ushindi wa Tsunami baada ya kugundua kuwa mafuriko ya mgombea wa UKAWA yalikuwa yakiandaliwa. Wengine wamesema kuwa UKAWA ni Muunganiko wa vyama vinne lakini CCM ni kimoja ila watu kwenye mikutano ya CCM bado ni wengi sana karibu kila kona.

Kwa kweli tuache ubishi CCM mbele kwa mbele.
 
hakika kila dalili zinaonesha wanahaha, na jana lowassa amesema ukawa hawatoshinda ila eye anafurahi kuitoa jasho ccm na baadaye yeye mwenyewe kupoteana na maigizo yake.
 
Lazima washindwe tu,hamna ujanja kwa kuwa Magufuli ni kiongozi mchapa kazi,mzalendo,mwadilifu,na chaguo la walio wengi
 
Vote vote
 

Attachments

  • 1445579581880.jpg
    1445579581880.jpg
    19.9 KB · Views: 139
CRb3L-oWwAAQWTA.jpg tunashinda asubuhi kweupe, walahi fisadi hakatizi tunachinja, na kwa furaha tunampeleka magufuli ikulu.
 
hakika kila dalili zinaonesha wanahaha, na jana lowassa amesema ukawa hawatoshinda ila eye anafurahi kuitoa jasho ccm na baadaye yeye mwenyewe kupoteana na maigizo yake.

Acha uongo wewe kasema lini shame
 
inaonekana kama vile wote mmekodi Internet cafe alafu mnaambiana tuma tucomment fastafasta kabla hawajaja ukawa.

681326465510382266

wewe ndo unajua hilo nina mshikaji yeye ndo hufanya hivyo ili kujipatia kipato cha siku
 
Wacha ndoto za mchana. Tuna picha za fuso na makenta ya kibeba watu wa njano na kijani.
 
Back
Top Bottom