UKAWA waitisha kikao cha dharura

Pole sana dawa ya ujinga ni kutafutya maarifa si kujidhalilisha kwa uongo. ndege imeshapaa kutu ni kwa dharura si kwa hisia
 
Ukawa Nyie Endeleeni Na Vikao Na Kuita Press Conference Za Kutosha Ila Tutawaomba Mjumuike Nasi Pale Uwanja Wa Taifa Wakati Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli Akiapishwa Octoba..Karibuni Sana..
 
Acha uzushi mbowe yuko jimboni Hai na kesho ana campaign. Nyie wa kitengo cha masaki mliowekwa na kipara ngoto vepee mnafikiri uzushi ndo utabadilisha watu. Washaamua siku nyingi keep wasting ua energy
 
Nilikwishasema kitambo sana, Ukawa ni mwamvuli unaowakilisha kampuni yenye maslahi kwa Chadema tu na vyama vingine vinasindikiza tu juhudi za Chadema kuingia Ikulu. Watu wameanza kushtuka. Hamjiulizi atakaemwongoza Lowassa ni nani.
Bahati nzuri, hilo linaeleweka na sisi tunaoona mbali.
 
Tatizo umaalufu kutokea jf ni use....nge....rema
 
Hata akibakia lowassa peke yake watz washaamua rais ni lowassa full stop.
wameamua lini? we akili yako kweli mbaya. kama unampenda wewe el mkaribishe nyumbani kwako akuongoze sisi oct 25 tunamchagua magufuli.
 
Washapigwa asubuhi kama wataendelea na migogoro yao. Tatizo ni tamaa ndo inayowasumbua hawa viongozi, wanachama nao ndo fuata upepo, mbaya zaidi ukiwauliza kwa nini mzee hakuna jibu la msingi zaidi ya kutamka mabadiliko.

Yaani kutaka mabadiliko huoni kuwa ni jibu la msingi? Kama Ndivyo basi wewe mwenyewe unahitaji mabadiliko!
 
Samahani! hivi wewe ndio msemaji wa UKAWA!!??
 
Pole sana. Ukawa wakikutana mnasena mgogoro. Nyie chanzo cha matatizo mkikutana au kuitisha press ni kampeni. Kafieni huko. Lowassa ni Rais wetu. Kojoeni mkalale. Majambazi hadi nembo mnaiba. Jambazi haachi asili. Ogopeni ccm kama Ebola.
 

Wewe umetumwa na ccm hatoki mtu hapa.
 

Babu Duni leo alikuwa viwanja vya Barafu Mburahati na Jumapili atakuwa mkoa wa Manyara Katesh Hanang.
Una lingine la kuzusha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…