UKAWA waitisha kikao cha dharura

hata kwetu Kibondo madiwani wameweka watatu kila chama kimeweka mgombea hivyo basi wanampa nafasi mgombea Wa CCM kupita kwa urahisi
 
Tamaa na uchu wa madaraka unaviponza vyama vya upinzani. Mzee kununua chadema imekuwa ni pigo tosha la kuwapoteza kabisa kisiasa.
 

Washapigwa asubuhi kama wataendelea na migogoro yao. Tatizo ni tamaa ndo inayowasumbua hawa viongozi, wanachama nao ndo fuata upepo, mbaya zaidi ukiwauliza kwa nini mzee hakuna jibu la msingi zaidi ya kutamka mabadiliko.
 
Hii ni tactic za kuwapa breathing space CCM na kuwatupa off guard through deviatonal tactics- mahali ambapo yuko Lowassa ogopa sana ni akili tu inatumika-si campaign mnaona inavyokwenda watu kama wanasuasua-wakiingia mikoani maximum impact hadi hatuamini-na bado nyepesi nyepesi za chini ya carpet-LOWASSA has still got an ace in his sleeve na habari zinasema mkulu has got wind of this-hiyo siku nchi itasimamia vidole
 

Nimemwonyesha Mwenyekiti hii posting amecheka sana. Anasema hicho kikao cha dharura labda amekiita mwenyekiti wako siyo yeye. Anasema kikao chochote atakachofanya hakitakuwa cha dharura kwa sababu CDM ina mpangilio. Mwenzako pia mapema alisema kuwa Mbowe yuko Marekani kumwomba Dr. Slaa msamaha. Hii forum watu kama wewe mnaifanya iwe ni mahali pa majungu badala ya kuitumia kama inavyotakiwa-mahali pa kubadilishana mawazo. Mpaka mwezi wa kumi ufike mtapata shida sana.
 
Nakwambia lowasa anasaidia kuongeza viti vya urais wala sio kuwa rais, na snayebisha akiwa rais animate kichwa
 

Hivi milembe uliruhusiwa kweli?
 
Wewe inakuhusu nn? Ukawa ishakumbana na matatzo kibao, yoote yanakuwa solved….. Ongelea ishu za upande wako au hakuna mvuto nn?
 

Maccm yanafikiri hapa jamvini ndio kuna wapiga kura wa kukinusuru ccm, teeeeeh, teeeeeeh imekula kwao dadeeeekiiiiiii
 
Shida ya nini wakati lowasa anasaidia kuongeza viti vya ubunge tu,urais atausikia icu
 

Na tayari wengi wao wamekonda ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…