Wakwanza huyooooooooLofa ulofani
Wapili huyoooooooooooooooHata Obama hashiki mamic yote hayo. Hilo si la kujivuni ni matokeo ya teknoljia duni iliyosababishwa na CCM
Watatu huyooooooooooooooAcha utoto wewe mmeishiwa sera?
Hivi kama ndivyo mnajibu maswali. Basi endeleeni kufuata mkumbo tu.Hujui tofauti ya maendeleo na ushabiki
umechoka sana wewe.Kwa hiyo mtu akishika mike tatu anakuwa rais mzuri.
You are tired mentally
Kuna watu ni wehu sana hapa nchini..... Badala mnadi sera zenu mnakuja na uji.nga tu
Kama wewe ni kichwa cha panzi ni rahisi kujibu kama ulivyoosema. Lkn anachomaanisha mtoa mada ni kile ambacho kimekuwa kikitajwa Mara kwa Mara "afya ya mgombea"umechoka sana wewe.Kwa hiyo mtu akishika mike tatu anakuwa rais mzuri.
You are tired mentally
IndeedHata Obama hashiki mamic yote hayo. Hilo si la kujivuni ni matokeo ya teknoljia duni iliyosababishwa na CCM