Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #41
Siyo kidogoCCM ni wakoloni weusi.
Siyo kidogoCCM ni wakoloni weusi.
ukawa wanajijenga kisiasa badala ya kutoa majawabu ya matatizo ya watzWaliopoteza siyo hao wanywa Kitwanga?
Sasa kama ccm ndio wakina kitwanga wengi unategemea hoja ganiukawa wanajijenga kisiasa badala ya kutoa majawabu ya matatizo ya watz
siipendi hii tabia naamini ndiyo imepelekea bunge kutonyeshwa live.
kama wanataka mipasho ya ccm. imeharibu nchi waitishe mukutano jangwani. hata wiki nzima.
lakini bungeni tunataka hoja mbadala zenye nguvu sio mipasho.
Yote hayo ni ukawa kuwa ukiwa baada ya kukosa hoja,kwa sasa wanatapatapa tu.UKAWA wamekosa hoja za kusimamia hivi sasa, wamekuwa wa kudakadaka tu huku na kule.
Naona vitwanga wawili mnapeana moyo baada yakutoka kuyumbayumbaYote hayo ni ukawa kuwa ukiwa baada ya kukosa hoja,kwa sasa wanatapatapa tu.
ndio umeandika nini umeshapata kitwanga nini???Lwakatare kachuja yaan ukiwa mmejichnganya kasi ya mzee magu ...lukuvi ndio mtupe lwakatare aaaaah
MNATAKA BUNGE AU MNATAKA LIVE? HAMUELEWEKI MBONA BUNGE LINAONYESHWA LIVE FROM TV STATION BUT RECORDED LIVE FROM PARLIAMENT SESSIONSNdio hiyo hiyo umewapa kiwewe mpaka hamkuonyesha Bunge Live
Mwaka jana lilikua linaonyeshwajeMNATAKA BUNGE AU MNATAKA LIVE? HAMUELEWEKI MBONA BUNGE LINAONYESHWA LIVE FROM TV STATION BUT RECORDED LIVE FROM PARLIAMENT SESSIONS
Isisemee Watanzania wengi, jisemee wewe kuwa huna imani nao (UKAWA).Tatizo ni kwamba sasa hivo ukawa wanamchi wenye akili, ambao ni watanzania wengi hawana imani nao.
TataMadiba naona umezeeka akili, JIJI la Dar esalaam ni sheeder kila kona, hakuna mifumo ya maji taka, maji Safi ya kunywa ni sheeder, ujenzi holela kila kona, huoni CCM tumeishiwa mbinu? Tuombe MUNGU JP atuvushe akishindwa nahamia opposition party.UKAWA wamekosa hoja za kusimamia hivi sasa, wamekuwa wa kudakadaka tu huku na kule.
Kuna mambo yanaendelea vijijini yanakera sana,isipokuwa hakuna wa kuyasemea,nimewauliza wale wananchi je Mbunge wao huwa anawatembelea?wanasema "hapana hatujamuona tangu tumchague",wakaongeza "na huko juu ndo wala hawatujali maana wanajua matatizo yetu" wakimaanisha Halmashauri ya wilaya ya Kilosa.Unapoteza muda kumuelewesha mtu ambaye akili zake binafsi alizojaliwa na Muumba kaamua kuziweka bond ili kuwafurahisha akina fulani.
Mtu anashindwa kutofautisha matatizo ya Kitaifa yeye anaingiza vyama. Huu ni utoto sana.