mgonjwa ukimwi,
good points raised, however, where do we stand?
Kama sera, mikakati, mbinu zote nzuri ziko mezani kwa hao viongozi wetu, tatizo linakuja kwenye utekelezaji, na ndio maana hapa forum watu hupiga sio kelele peke yake, bali pia na kurekebisha, kuna vitu huitwa "checks and balance", mojawapo vikiwa ni vyombo vya habari vilivyoshindwa kufanya kazi yake na hatimaye forums zinaonekana kuchukua nafasi ya vyombo vyetu vya habari
ni vitu gani vipya unahitaji ndg yangu wakati hata tulivyo navyo vidogo vinatushinda kuvitekeleza kwa faida ya wananchi??
Mkandara alizungumzia suala la alternative energy, viongozi wako wakatuletea rdc, man gi me a break, pongezi zipi tuzitoe hapo?? Au unataka akina fd waanze kuchambua hizo billioni zilizotolewa huko mikoani uone kama zitakuja na benefit...... I doubt!!
Yaani wewe unataka tusifie/tupongeze nia ya el kutuletea mvua ya thailand, wakati its obvious kichekesho.
Nakukumbuka sana toka kule bcs, karibu sana hapa, pia hapa kuna vichwa vimetulia kwa pande zote, kuna watu makini sana hapa mwl moshi, tafiti then jadili, kichuguu, fikiraduni, mkandara, drwho,mwanakijiji, kulikoni, io, jasusi, mzee es, dua, invincible, chifu, mzeeshughuli, quarz, mtz, tatu, and the list goes on and on....................... Yaani wewe unataka kutuambia watu tunapoteza muda wetu hapa, wakati kuna issue zimakatwa kisawasawa na zingine zimeshafanyiwa kazi.
Mapendekezo mengi tu kuhusu elimu, uchumi, utawala, miundo mbinu, katika kuchangia maendeleo nchini yametolewa, na hiyo haimaanishi the way you put it eti "forum hii ndio viongozi" hiyo lugha uliyotumia hapa tumeibatiza na tunaiita "nonsense" au direct proportional to "nungwi"
mgonjwa ukimwi, yako mengi ya maana hapa yamezungumzwa,na tutaendelea ku "knock" the door ipo siku mlango utafunguliwa na neema kwa generations zijazo kupatikana..........inshaallah