UKAWA wachanganyikiwa!

Mapenzi ya dawa hayadumu.Lowasa aliagua,sasa nguvu ya dumba inaanza kufifia.Viva Magufuli.Watanzanıa hatuwezi kabidhi nchi kwa genge la walanguzi.
 
kama kwa andiko hili na wewe utakuwa umelipwa basi hela za lumumba zinachezewa hovyo sana !
 
Wewe Zombie unahangaika!! Pole sana mwaka huu mwisho wenu wa kudaka buku saba. Mazombie fc
Wapiga dili fc mtaisoma namba mwaka huu maana mnapumulia mashine sahv mnatoa kila sababu eti mtaibiwa kura hahahah too late
 
Magufuli atashinda kwa kishindo. Hilo ni la kisayansi kabisa. Bila utafiti mnaringua nini?
 
Ndivyo ilivyo kila dalili zinajionesha ndio maana mlisema hata kwa goli la mkono

Naomgea na watu mbalimbali vijijni, wapiga kwa ukawa ili katiba YA WARIOBA IRUDI BUNGENI KWA UKOMBOZI. WATU WANAHITAJI MABADILIKO HII BIASHARA YA MBUNGE KUWA WAZIRI NCHI HAIWEZI KWENDA MBELE. JAMANI HATA WANACHAMA CHETU WANAHITAJI MAISHA BORA
 

Tumbo aumwe mwingine kuharisha uharishe ww !! wacha matata yako tulia kimya uonyeshwe mfano.
 


Mwaka huu ccm isipojipanga vyema mwaka huu mnawza kupata pig; alilowahi kusema Nyerere kuwa atakosekana wa kuwafuteni machozio
Mie niko huku Sumbawnga vijijini katika wilaya ya Kalambo , wananchi wamebadilika sana na kwa kweli upepo kwa huu unavuma vyema sana kwa UKAWA kwa ccm shidsa ,uliza mbunge kama ni mkweli atakwambia.
 
Lowassa hana haja ya mdahalo; mtakutana na tundu lissu, mbatia au mbowe!!!! Our president is very busy with the preparations to ikulu!!!

Lowassa asiende wala asisumbue kichwa chake na wapiga kelele wa ccm maana miaka yote tangu uhuru tuna marais waongeaji sana tu lakini hakuna kitu!!! Full miporojo tu hali nchi ikizidi kuwa maskini miaka nenda geuka!!!!

Tunamtaka lowassa si'ili aje kutupigia miporojo ila aje kufanya mambo yaliyowashinda wapiga porojo!!!!

So, lowassa just think of strategies for developing our country and not midaharo tena na ccm!!!! No plz!!!! No need at all!!!!
 

Endelea kujidanganya"
 
Mkuu hata mzee Mengi amewastukia, amewakana hadharani juzi.
 

Watahama jukwaa baada ya uchaguzi, sijui watakimbilia wapi hawa watani.
 
Khaa!! Humu ndani kila mtu anadai mwisho wenu na huyu mwingine anadai mwisho wao.Kwani mnaishi kwa kutegemea ruzuku za vyama? Nauliza tu
 
Kachanganyikiwa babako..mwaka huu lazima mnye moto mtajamba Cheche..jipange bwabwa we akili zako ziko kwenye makalio yako..

Hivi Ukawa huwa hamuwezi kubishana kwa hoja mpaka mtukane? Acheni kutokwa povu, jibuni hoja kwa counter hoja bhana, hasira za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…