Uloi nga mâché68
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 486
- 153
Oct tar 26 vaa pumpers kabisaUloi nga mâché68;14021815 said:Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA,mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji,Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA. Mtashangaa sana
Uloi nga mâché68;14021861 said:Zombie ni wewe unayeamini utashinda bila kujua utashindaje!
Uloi nga m09ch¨¦68;14021815 said:Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA,mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji,Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA. Mtashangaa sana
Umoja wa katiba ya wananchi ni habari ya vijiji vitongoji na mitaani..tukutane october
Uloi nga mâché68;14022013 said:Wanaojitambua wameelewa somo kwamba UKAWA itashindwa vibaya!