UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

Duhh kama watafanya fujonitakuwa ni aibu kubwa sana kunahitajika juhudi za makusudi kufikia maridhianonkama hawataki ni bora wasihudhurie tu bungeni waondoe hiyo aibu
Hiyo Aibu ndiyo itazindua Dunia kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.
 
Sasa Rais Magufuli asipohutubia Bunge na kulizindua watachukuaje posho? Nashauri Magufuli afute kwanza posho za Wabunge ili walipwe mshahara tu

Du! mkuu upo? Vp wilaya yako ya Kinondoni mbona wabunge wa ccm wamepigwa nao sana na ukawa? Magufuli atakuacha uendelee na ukuu wa wilaya?
 
Huu si utawala wa jk,walizoea fujo yeye anawaangalia tu,magufuli atawanyoosha

Watanyooshwa kivipi? Wabunge wengi safari hii wamepiga Tizi sana wapo fiti kuwakabili walinzi wa bunge pindi wakiamua kuwavaa zitapigwa ngumi kama ilivyowahi kutokea kule bunge la Japan au kule kenya.
 
wazo zuri,hatuwezi kulipa watu pesa ili wakapige kelele bungeni,futa posho wape mshahara wa laki nane kwa mwezi,asiyetaka ajiuzuru ubunge

Wakizuia posho wabunge wa ccm ndiyo wataumia zaidi kwani ni wengi sana na wanapenda posho hakuna mfano.
 
Kama wanamkataa Rais basi hata wao sio wabunge halali maana ni tume hiyohiyo iliyowapitisha....watanzania tunataka baraza liundwe watu waanze kazi za kujenga taifa...ole wao walete fujo...nasema tena !ole wao!

Utawafanya nini?utaingia bungeni na bomu? au unataka kuingia na kisu?
 
Hapo ndio watanzania watajua faida ya kuchagua wabunge wapuuzi. Hawa UKAWA wanafikiri hii bado ni serikali ya Kikwete. Ngoja Magufuli awaweke sawa ndio watapata akili.

Rais hawez kumfnya lolote mbunge....mbunge anachaguliawa na wananchi so kma kazoe kufuluza atajfukuza yeye kwanza
 
Sasa Rais Magufuli asipohutubia Bunge na kulizindua watachukuaje posho? Nashauri Magufuli afute kwanza posho za Wabunge ili walipwe mshahara tu

. Haaa wabunge wengi wananjaa na wapiga dili tu....wasipate posho wataweza vipi kuonga dada zetu hapo UDOM na kulala hotel za kifahali????!!!!.....UKAWA hawana matokeo yoyote kwa jamii ya Tanzania.....kichwa kiliondoka wamebaki kiwiliwili.....Viva dr.Slaa
 
Badala wakae wajadili jinsi ya kusaidia nchi isonge mbele wao wanaendeleza siasa za ugoro,yaani muda wote wakiutumia kujadili uchaguzi,lini watajadili kutatua kero kibao zinazowakabili wananchi?

Maendeleo yaletwe kwa kandaa uchaguzi wa huru na haki,lakini kupora ushindi kisha utake kunyamazisha watu kwa nguvu haiwezekani.
 
Una uhakika au umeziba ogani zako za fahamu na kinyesi?

Tupe huo ushahidi wa Jecha badala ya kuanza kutukana hapa. Wengine tuna heshima zetu ...............!!!

Mpaka sasa nimeona sababu za Jecha kufuta uchaguzi. Sijaona ushahidi wa alichokisema!!
 
Duhh kama watafanya fujonitakuwa ni aibu kubwa sana kunahitajika juhudi za makusudi kufikia maridhianonkama hawataki ni bora wasihudhurie tu bungeni waondoe hiyo aibu

Wasihudhurie nini? Hakuna cha magufuri kuhutubia...
 
. Haaa wabunge wengi wananjaa na wapiga dili tu....wasipate posho wataweza vipi kuonga dada zetu hapo UDOM na kulala hotel za kifahali????!!!!.....UKAWA hawana matokeo yoyote kwa jamii ya Tanzania.....kichwa kiliondoka wamebaki kiwiliwili.....Viva dr.Slaa

Tambua kuwa Slaa hakuondoka peke yake alinunuliwa kwa dola million 2 ili awadhoofishe ukawa lakini sasa hana issue
 
Tupe huo ushahidi wa Jecha badala ya kuanza kutukana hapa. Wengine tuna heshima zetu ...............!!!

Mpaka sasa nimeona sababu za Jecha kufuta uchaguzi. Sijaona ushahidi wa alichokisema!!

Safari hii ccm wamebanwa hawapumui wanajiandaa kuwapa rushwa wabunge wa ukawa wasiwatie Aibu kuna timu membe wapo huko wamepeleka mabulungutu kwa ajili ya kupennyeza wakiamini watafanikiwa kutuliza mizuka ya ukawa.
 
Kheee!! Kwahiyo umepigia mstari kwamba JK alikuwa dhaifu haswa au ?
Mbona unapingana na FaizaFoxy au hamko chama kimoja?

Kikwete yeye mwenyewe kishasema kuwa ni mpole.

Dhaifu angewahenyesha? Kamuulize Mbowe alibwagwa kwa kura ngapi na Kikwete.

Kamuulize Lowassa kabwagwa mara ngapi na Kikwete.

Dhaifu huyo.
 
hii tabia ya wana ccm kuona migogoro ya kisiasa ni ya kupuuza itakuja kuwatokea puani,zanzibar itakuwa mfano wa kutokuvunja utaratibu wa nchi
 
- Ninaapa kwamba hawawezi kama wanajua haki wangeianza kwenye Wabunge wao wa Viti Maalum, hahahahaha kesho wakileta za kuleta yale malori bado yana maji yaliyokuja nayo hahahahahaha

Le Mutuz

Wewe jitu linene lipenda vitoto under 17 age upo? Ebu nenda kapunnguze mafuta mwilini kwanza na ukampe pole mama yako Anna kilango; hizo gari za washawasha zinaingia bungeni ndani ya mjengo?
 
Back
Top Bottom