UKAWA Vs SERIKALI, kwa staili hii sioni mshindi

UKAWA Vs SERIKALI, kwa staili hii sioni mshindi

Nakumbuka kauli ya Lowasa alisema,Siasa ni mazungumzo na makubaliano huja kwenye meza ya mazungumzo,hivyo basi UKAWA wanapaswa kufuata huo ushauri na watafute namna ya kukutana na wanasiasa wenzao wazungumze kuliko kujitokeza mbele ya hadhara na kutoa matamko yenye kuvunja aman ya nchi kwa wananchi wenye...... imagine ww ni raisi afu unaskia matamko kama hayo....Utachukua uamzi gan....Akiacha kuwa wasihi polisi walinde usalama wa raia afu wapate matatizo baada ya hiyo Ukuta napo watakuwa na kiki ya kuzungumzia....Tuacheni siasa na tuwe realistics buana...
Mkuu unaandika sana halafu pumba, hujui unasema nini!
 
Umesema vema sana mkubwa,pia naomba nikuambie kuwa hii nchi inawatu wengi sana na pia wenye mawazo na matamanio tofauti....Kutokana na hilo maamzi ya serikali ni ngumu sana kumlizisha kila mtu wa nchi hiii.....Ndo maana serikali huingia madarakani ikiwa na ilan kama muongozo na dira ya serikali.... Pia yafanyayo na serikali hii yamo ndan ya ilan yao..... PIa nakuomba na ww usiamimishwe na wanasiasa kuwa mkuu wa nchi hii anakiuka katiba ya nchi hii lakin anasimamia misingi ya utawala bora ambao kila raia huwa hapendwi kubanwa na sheria..... PIa suala la mikutano ya kisiasa haiwezi kuwa kichocheo cha maendeleo ya nchi na ndo maana mkuu ameweka kapuni kidogo kuliko kuruhusu watu wawe bize na siasi pasipo kufanya kazi za maendeleo yao....Asante
La kuvunja katiba lipo wazi watz hatuhitaji kuaminishwa na mtu yeyoye.
 
Kitu kingine ni hiki. Viongozi waongoze kwa mifano na siyo kwa nguvu. Kama kiongozi anawaita watoto wake vilasa na mwingine anawaita wapiga kura malofa kwa kuwa tu wanapingana na mawazo yake hao ni viongozi ambao hatutaki tabia zao kwani wawakwaza wengine. Hawa wanatakiwa pia wapelekwe mahakamani siyo tu wale wanaomwita Raisi dikteta. Kama baba unaonyesha tabia mbaya kwa watoto wako inabidi ukubali wakianza na wao kukutukana. Kiongozi asijione yuko juu ya sheria. Mimi nimemsikiliza Obama kwa miaka saba sijawahi akisema mimi anasema "we not I" na sijamsikia akitukana hata siku moja.

Naweza sema ki ukweli kuna baadhi ya viongozi bado wanahulka ya kutaka kuabudiwa kutokana na position tu waliyonayo badala ya kutafuta heshima Kwa kutatua matatizo ya watu
 
Back
Top Bottom