UKAWA umeua CUF na NCCR, unanufaisha CHADEMA

UKAWA umeua CUF na NCCR, unanufaisha CHADEMA

Kwa sasa jina linalovuma ni ukawa na chadema. Hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hvi karibuni, chama cha upinzania kikichosikika kidogo ni machadema.

cuf na nccr wamekosea kuchanga karata zao.. Wamelamba joka. Chadema inachekelea. Hata kwenye maeneo ambayo cuf na nccr wanakubalika, chadema walisimamisha wagombea. Walikiuka makubaliano ya ukawa..mfano mzuri ni huko mtwara ambapo cuf wanakubalika sana lakini chadema wameshinda vijiji kadhaa.
note: ukawa ni kaburi kwa cuf na nccr
CCM mnatapatapa, na mnatafuta sana kuuvuruga umoja wa vyama vya upinzani uliopo hivi sasa, kwa kuwa umekuwa ni threat kubwa kwenu. Lakini sisi kama UKAWA tunakijua tunachokifanya na katu hatutarudi nyuma.
 
huu ni mwanzo tuu mpaka utawala wa shetani unaenda kuanguka UKAWA GO GO GO FUTA DELETE CCM NCHI NZIMA.
 
kwa sasa jina linalovuma ni ukawa na chadema. Hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hvi karibuni, chama cha upinzania kikichosikika kidogo ni machadema.

Cuf na nccr wamekosea kuchanga karata zao.. Wamelamba joka. Chadema inachekelea. Hata kwenye maeneo ambayo cuf na nccr wanakubalika, chadema walisimamisha wagombea. Walikiuka makubaliano ya ukawa..mfano mzuri ni huko mtwara ambapo cuf wanakubalika sana lakini chadema wameshinda vijiji kadhaa.
Note: Ukawa ni kaburi kwa cuf na nccr

na bado mtaweweseka sana mwaka huu ndio mtaijua cdm kama ni ya wachaga ama ya watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao
 
Kwa sasa jina linalovuma ni ukawa na chadema. Hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hvi karibuni, chama cha upinzania kikichosikika kidogo ni machadema.

cuf na nccr wamekosea kuchanga karata zao.. Wamelamba joka. Chadema inachekelea. Hata kwenye maeneo ambayo cuf na nccr wanakubalika, chadema walisimamisha wagombea. Walikiuka makubaliano ya ukawa..mfano mzuri ni huko mtwara ambapo cuf wanakubalika sana lakini chadema wameshinda vijiji kadhaa.
note: ukawa ni kaburi kwa cuf na nccr

Haya mliyaandika na kuyasema kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini haikufua dafu mmeanza tena, duh!! mwaka huu mtaandika na kuongea hata visivyoandikika na kuongeleka lakini moto hauzimiki hadi ifikapo October 2015.
 
Hakika UKAWA is a Doctor,CCM imepigwa sindano ya crystapen na Dawa inafanya kazi vizuri.Mm ni mwana Chadema lkn uchaguzi wa serikal za mitaa niliipigia CUF kura kwa sababu ndiyo inayokubalika kwenye eneo letu hiyo ndio UKAWA sawasawa ndugu zangu wa CCM na bado mtatia akili vzr,UKAWA is a very strong jet fighter CCM kaeni vzr mtaumia balaa.
 
Hiyo ndiyo iliyokuwa Dhamira kubwa ya chadema kuwatumia wenzao ili wapate kura. mimi sioni kufa kwa chama chochote ila kifo cha ukawa
 
Ajira ya buku saba kwa thread ndo moja ya zile alizo ahidi Kikwete kuwa atatoa ajira million moja kwa vijana.
 
Mmekosa pa kugusa maana hoja za Udini, Ukabila, Ukanda zote zimeuawa - sasa mnakuja na mpya kwamba CDM ni mnufaika ndani ya UKAWA.


Na bado UKAWA umewakaba koo - safari hii hamchomoki.
 
Cuf na nccr itakula kwao;muungano upi umeuona wa mchaga na muislam? Walienda kuomba fedha wakaambiwa operesheni zote tulizowapa hela zimeishia kupigwa tu na ccm kila uchaguzi safari hii unganeni ndo wakawatongoza cuf na nccr bado hali mbaya serikali za mitaa wamepigwa kipigo cha paka mwizi. Labda waje sasa na movement for re-change phase two

wewe ni kichaa
 
Kwa sasa jina linalovuma ni ukawa na chadema. Hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hvi karibuni, chama cha upinzania kikichosikika kidogo ni machadema.

cuf na nccr wamekosea kuchanga karata zao.. Wamelamba joka. Chadema inachekelea. Hata kwenye maeneo ambayo cuf na nccr wanakubalika, chadema walisimamisha wagombea. Walikiuka makubaliano ya ukawa..mfano mzuri ni huko mtwara ambapo cuf wanakubalika sana lakini chadema wameshinda vijiji kadhaa.
note: ukawa ni kaburi kwa cuf na nccr

Ndo Utekelezaji Wa Maazimio Ya Kamati Kuu Haya Nn? UKAWA Wana Akili Sana.
 
CUF na NCCR wanajua wamenufaika asilimia 100 wewe unaota ndoto sasa hivi umoja ni nguvu mwendo mdundo
 
Back
Top Bottom