ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Kwa sasa jina linalovuma ni ukawa na chadema. Hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hvi karibuni, chama cha upinzania kikichosikika kidogo ni machadema.
cuf na nccr wamekosea kuchanga karata zao.. Wamelamba joka. Chadema inachekelea. Hata kwenye maeneo ambayo cuf na nccr wanakubalika, chadema walisimamisha wagombea. Walikiuka makubaliano ya ukawa..mfano mzuri ni huko mtwara ambapo cuf wanakubalika sana lakini chadema wameshinda vijiji kadhaa.
note: ukawa ni kaburi kwa cuf na nccr