Nikiwa mkereketwa wa mabadiliko na mfuasi wa UKAWA.
Naomba wanaUKAWA wenzangu tutoe wito kwa viongozi wetu sasa kujikita maeneo ya vijijini ambako kwa dakika hizi za majeruhi watatuelewa kwani kwa mijini tayari ushindi tunao,ila shida ipo vijijini kwa %kubwa.
Aidha,napendekeza yafuatayo yafanyike:-
1.Wewe mwenyewe binafsi,tafuta kondoo wapya wasiopungua 10 na wao watawatafuta wenzao kwa idadi hiyo na uzazi kama wa viwavi tukajikuta tupo wengi na tukafanya mabadiliko na sio kupiga blahblah tu.
2.Viongozi wa kitaifa hakikisheni mnagusa walau kila kata kama si kijiji wakati wa kampeni kwani maneno yenu huvuna wengi kuliko ya kwetu.
3.Mh.Lowasa ambaye ni mgombea Urais,hakikisheni anapita kila Jimbo kama si kila kata.
4.Viongozi jipangeni dhidi ya goli mkono na andaeni mawakala kila sehemu.
Matumaini ni makubwa kwani baadhi ya wanavijiji wanasema Ubunge CCM,Urais Lowasa.Ukiwauliza kwanini?wanasema tunataka mabadiliko.Kwa kauli hiyo hao wanaweza kubadilika kwa vyote.
KWA KUFANYA HAYO NI USHINDI WA KIMBUNGA.