UKAWA twendeni Vijijini tujihakikishie ushindi

UKAWA twendeni Vijijini tujihakikishie ushindi

Upo sahihi na nikweli lowasa ni habari ya mjini lakn sio vijijini iv kwann nako asiende?
 
Mimi napendekeza Kampeni za UKAWA zijikite vijijini badala ya mjini! Lowasa apitie vijiji vingi iwezekanvyo hasa kanda ya ziwa yaani mwanza,Geita,Kagera,Mara,Shinyanga,Simiyu! akiweza apige na kanda ya nyanda za juu! Mbeya, Rukwa, Iringa na Ruvuma!
 
Si tu vijijini, hata huku mijini Ukawa hawana wapiga kura ila wana maandamano ya watu ..
 
Back
Top Bottom