kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,880
Mkuu hizi propoganda mmeshachalewa....tuliwasikiliza sana..lakini baadaye tukagundua sisi ndo wajinga.....I say...hatudanganyiki tena!
rasilimali zipi hizo mkuu unazozizungumzia?manake kwa utaratibu huu wa ccm sidhani km kuna kilichosalia labda ambacho hakijagundulika mpk sasa otherwise ccm walikwisha filisi nchi hii zamani sana,kuanzia walipoanza kuuza vitalu vya uwindaji kule loliondo,kusafirisha wanyama hai mpk kusaini mikataba 17 ya siri kati ya TZ na China wewe unategemea kabisa kutakuwa na kitu kilichosalia cha kuuzwa na ukawa?acha unafiki fikiri kwa kutumia kichwa na sio tumbo