UKAWA tumestuka msitake kutuburuza

UKAWA tumestuka msitake kutuburuza

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
nimekaa na kutafakari sana eti mnaitaka Nchi...tena mmeenda mbali kwenda kuomba support kwenye mataifa makubwa.........In return mnataka kuwapa nini........Mkishapata hii nchi Muanze kugawana kila mtu afidie kile alichopoteza katika harakati za kuichukua Tanzania tulivu....

Mnataka kutuletea ya Libya...Mje mtufanye tuishi kwa Mashaka....Upo ushahidi wa Makubaliano Mliyoweka na Mataifa yanayotolea macho Rasilimali za Watanzania...To hell I was In support of u but after noticing this nikawafikiria ndugu zangu kue kijijini wanaotegemea Rasilimali za TZ kwenye maisha yao ya kila siku I SAID NO THANK YOU UKAWA.....

sikuelewa mantiki yenu ya kutka Serikali 3....kumbe ilikuwa ni kuuondoa umoja wa WATZ ili mfanikishe hili...kwa Urahissi.

Soon nitaapload Mzigo hapa tuone Mkakati wenu wakuiuza hii nchi.
 
nimekaa na kutafakari sana eti mnaitaka Nchi...tena mmeenda mbali kwenda kuomba support kwenye mataifa makubwa.........In return mnataka kuwapa nini........Mkishapata hii nchi Muanze kugawana kila mtu afidie kile alichopoteza katika harakati za kuichukua Tanzania tulivu....Mnataka kutuletea ya Libya...Mje mtufanye tuishi kwa Mashaka....Upo ushahidi wa Makubaliano Mliyoweka na Mataifa yanayotolea macho Rasilimali za Watanzania...To hell I was In support of u but after noticing this nikawafikiria ndugu zangu kue kijijini wanaotegemea Rasilimali za TZ kwenye maisha yao ya kila siku I SAID NO THANK YOU UKAWA.....sikuelewa mantiki yenu ya kutka Serikali 3....kumbe ilikuwa ni kuuondoa umoja wa WATZ ili mfanikishe hili...kwa Urahissi.

Soon nitaapload Mzigo hapa tuone Mkakati wenu wakuiuza hii nchi.

Mkuu hizi propoganda mmeshachalewa....tuliwasikiliza sana..lakini baadaye tukagundua sisi ndo wajinga.....I say...hatudanganyiki tena!
 
Pole Mkuu. Jitahidi ili time and changes are simultaneous sio rahisi kurudi nyuma tena
 
Hoja yako ni ya kitoto sana,tafuta kazi ya kufanya.
 
Hata kuandika kwa kiswahili huwezi?

Punctuation ni tatizo kwa vijana wa maccm.

Unakuwa na haraka ya nini? Ok.kuna option ya ku-edit fanya hivyo.
 
Mp#"!zi tu hivi leo hii unaweza ukaizungumzia ukawa kwa mtazamo huo?? Its shame,, mmetuletea mabadiliko mabovu kwenye mitaala ya elimu wapumbavu ccm nyie,, mmeleta B ya 52? Then mnataka kesho vijana wetu waka compete ktk soko la ajira? Mkuu nenda ukachambe kwanza
 
u called t propaganda

Acha kutuonyesha ujinga wako . Dunia ya leo wewe ni takataka ktkt ya madampo ya Spenko Vingunguti, na Pugu kinyamwezi. Eti umekaa name kutafakari , kwa akili ipi ya kuweza kufanya tafakuri? Wakati mwingine jitahidini kujua nini uwezo wenu kabla ya kujianika kwenye jamii.
 
Ili kutenda haki na kudumisha demokrasia na kusaidia serikali weka hapa ushahidi wako mkuu.
 
Kama la Zitto halikuiyumbisha CHADEMA na mpaka anataka arudi, hakuna kitakacho rudisha nyuma nguvu hii ya umma. Umma umeshang'amua, mtakuja na propaganda kibao za kutunga ila nguvu ya Mungu haizuiwi kwa nguvu ya shetani. Poleni, kaje na lingine.
 
nimekaa na kutafakari sana eti mnaitaka Nchi...tena mmeenda mbali kwenda kuomba support kwenye mataifa makubwa.........In return mnataka kuwapa nini........Mkishapata hii nchi Muanze kugawana kila mtu afidie kile alichopoteza katika harakati za kuichukua Tanzania tulivu....

Mnataka kutuletea ya Libya...Mje mtufanye tuishi kwa Mashaka....Upo ushahidi wa Makubaliano Mliyoweka na Mataifa yanayotolea macho Rasilimali za Watanzania...To hell I was In support of u but after noticing this nikawafikiria ndugu zangu kue kijijini wanaotegemea Rasilimali za TZ kwenye maisha yao ya kila siku I SAID NO THANK YOU UKAWA.....

sikuelewa mantiki yenu ya kutka Serikali 3....kumbe ilikuwa ni kuuondoa umoja wa WATZ ili mfanikishe hili...kwa Urahissi.

Soon nitaapload Mzigo hapa tuone Mkakati wenu wakuiuza hii nchi.

Hivi pamoja na haya matokeo yenu ya aibu na fitina zenu zote bado wanendelea kuwalipa buku 7 daily kwa pumba zenu au baadhi yenu washafukuzwa kazi!/
 
nadhan ukipitia baadhi ya comments unaweza amua wewe mwenyewe ujiweke kundi gani,hebu naomba utoe comments zako kuhusu mikataba mibovu ya madini,uuzwaji wa twiga hai, uuzwaji wa meno ya tembo,kashfa ya richmond,EPA,mauaji ya raia,matumiz mabaya ya dola na mambo mengine ongezea hiyo ni mifano tu.halafu niambie nan anauza nchi kati ya ccm na UKAWA? ahsante
 
fake story kutoka kwa mtu ambaye hajui kama anapoandika anatumia internet na inalipiwa. hovyo kabisa tumbo lisikufanye ukakosa akili
 
Mkuu kanuni zinabana sana hapa jf. Hustahili hata kukosolewa kistaarabu! Hivi kule facebook unatumia id gani au umeweka huu upuuzi kwenye group gan nkufuate huko huko!

Back
Top Bottom