afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,986
- 1,592
Kuna baadhi ya majimbo na mgombea mmoja mmoja wa ukawa tumekosea.
Jimbo kama la Bukene-Nzega hakuna mgombea wa CUF ila CHADEMA wako vizuri.
Jimbo la Nzega vijijini CUF hawakubaliki ila wameweka mgombea.
Nkumba akatwe hakubaliki jimboni.
Aachiwe aliyeshinda.
Ansibert Ngurumo hakubaliki
Tuache u CCM tukumbuke yaliyotokea kule kalenga wakati wa uchaguzi mdogo.
Maoni ya wananchi yaheshimiwe.