Huu ndio unafiki wa Julius Mtatiro na UKAWA

Huu ndio unafiki wa Julius Mtatiro na UKAWA

Mtimbo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
1,392
Reaction score
797
Kaimu Mkt CUF Taifa, Katibu Mkuu, NKM (B),Mhe. Juma Duni!

YAH: SIKU MOJA YA MAAMUZI.

Kwa hesabu za haraka chama chetu kina siku ya leo tu kujihakikishia usalama Tanzania Bara au kujimaliza kimyakimya.Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa juu wa CHADEMA ni kwamba wenzetu wanajipanga ku-delay umaliziaji na utangazaji wa majimbo (conclusively) ili kampeni zizinduliwe kesho kila mtu atawanyike kwenda jimboni na wagombea urais na mwenza wawe kwenye mizunguko.Viongozi wao wa kanda wamepewa maelekezo waweke mgombea kwenye kila jimbo nchi nzima na huo ni uamuzi wa Kamati Kuu yao iliyogawanyika sana wakati inaufanya. There is no way CUF ikafanikiwa kuwaondoa wagombea wa CHADEMA kwenye majimbo tuliyovamiwa na yaliyo PENDING ikiwa uamuzi huo haufanywi leo na kutangazwa leo hii na viongozi wote wa UKAWA. Leo ndipo UKAWA inakazi ya kutangaza jina la jimbo na mgombea anayetambuliwa na UKAWA kisha kusainiana MoU ya majimbo hayo hadharani. Tusipofanya hivyo leo hakutakuwa na nafasi hiyo tena na iko wazi kuwa TUTAPIGWA na wagombea wa CHADEMA almost all over the country, hatutaweza kupata wabunge hata watano bara na hatutapata asilimia 5 ya kura za ruzuku. Kusimamishiwa wagombea na CHADEMA kuna maana ya kuondoa theluthi mbili ya kura za majimbo ya CUF. Kama hatuchukui hatua leo hii nawahakikishia kuwa tutakuwa tumejitengenezea msiba wa waziwazi.Na mbaya zaidi chama chetu kime-sacrifice hadi kutoa mgombea mwenza halafu wenzetu watugeuke kiasi hiki halafu sisi tukae kimya tu, hatutakuwa na sababu ya kuwaeleza wanachama baada ya yote haya kutokea bila hatua halafu tukashindwa kwenye uchaguzi vibaya. Kama CHADEMA hawako tayari kumaliza vurugu hili nchi nzima kuna haja gani ya Makamu Mwenyekiti wetu kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA na mgombea mwenza ili kukisaidia chama kibachotugeuka namna hii na hatuchukui hatua? Mimi ni MUUMINI wa UKAWA lakini UKAWA ile ambayo CUF haibugudhiwi hata kidogo kwenye majimbo iliyoachiwa.
Kila la heri wakuu.

J. Mtatiro,28 Aug 2015.

My take: si ndio yeye mtatiro sasa aneyehubiri kuwa Prof lipumba Alinunuliwa na CCM! Wakati kwenye huu waraka Mtatiro anakili sababu alizotoa Mwenyekiti hadi kufikia kujiuzuru ni nzito na zina mashiko.
HUU KAMA SIO UNAFIKI NI NINI?
 
Kaimu Mkt CUF Taifa, Katibu Mkuu, NKM (B),Mhe. Juma Duni!YAH: SIKU MOJA YA MAAMUZI.Kwa hesabu za haraka chama chetu kina siku ya leo tu kujihakikishia usalama Tanzania Bara au kujimaliza kimyakimya.Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa juu wa CHADEMA ni kwamba wenzetu wanajipanga ku-delay umaliziaji na utangazaji wa majimbo (conclusively) ili kampeni zizinduliwe kesho kila mtu atawanyike kwenda jimboni na wagombea urais na mwenza wawe kwenye mizunguko.Viongozi wao wa kanda wamepewa maelekezo waweke mgombea kwenye kila jimbo nchi nzima na huo ni uamuzi wa Kamati Kuu yao iliyogawanyika sana wakati inaufanya. There is no way CUF ikafanikiwa kuwaondoa wagombea wa CHADEMA kwenye majimbo tuliyovamiwa na yaliyo PENDING ikiwa uamuzi huo haufanywi leo na kutangazwa leo hii na viongozi wote wa UKAWA. Leo ndipo UKAWA inakazi ya kutangaza jina la jimbo na mgombea anayetambuliwa na UKAWA kisha kusainiana MoU ya majimbo hayo hadharani. Tusipofanya hivyo leo hakutakuwa na nafasi hiyo tena na iko wazi kuwa TUTAPIGWA na wagombea wa CHADEMA almost all over the country, hatutaweza kupata wabunge hata watano bara na hatutapata asilimia 5 ya kura za ruzuku. Kusimamishiwa wagombea na CHADEMA kuna maana ya kuondoa theluthi mbili ya kura za majimbo ya CUF. Kama hatuchukui hatua leo hii nawahakikishia kuwa tutakuwa tumejitengenezea msiba wa waziwazi.Na mbaya zaidi chama chetu kime-sacrifice hadi kutoa mgombea mwenza halafu wenzetu watugeuke kiasi hiki halafu sisi tukae kimya tu, hatutakuwa na sababu ya kuwaeleza wanachama baada ya yote haya kutokea bila hatua halafu tukashindwa kwenye uchaguzi vibaya. Kama CHADEMA hawako tayari kumaliza vurugu hili nchi nzima kuna haja gani ya Makamu Mwenyekiti wetu kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA na mgombea mwenza ili kukisaidia chama kibachotugeuka namna hii na hatuchukui hatua? Mimi ni MUUMINI wa UKAWA lakini UKAWA ile ambayo CUF haibugudhiwi hata kidogo kwenye majimbo iliyoachiwa.Kila la heri wakuu.J. Mtatiro,28 Aug 2015.
Hebu muone Bwana Yule kwanza...
 
Haha pale ccn wanapokuwa na uchungu na maadui zao wa ukawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Interesting
 
wanafiki ni ccm na Act wazalendo wanaotoa pesa za na askari kumualibia lipumba maisha yake.


swissme
UNACHEKESHA HADI UNATIA HURUMA, ACT WANA HELA GANI YA KUWAPA WENGINE?
 
Mtatiro anatumika vibaya na CHADEMA kama hawajui hawa jamaa atajuta mda si mrefu. Yeye angekaaa na profesa lipumba wakazungumza, kuliko kushinda anamdhalilisha. Akumbuke kwenye siasa hakuna adui wakudumu wala rafiki wa kudumu.
 
Mtatiro anatumika vibaya na CHADEMA kama hawajui hawa jamaa atajuta mda si mrefu. Yeye angekaaa na profesa lipumba wakazungumza, kuliko kushinda anamdhalilisha. Akumbuke kwenye siasa hakuna adui wakudumu wala rafiki wa kudumu.
Huyu huyu Mtatiro Chadema ndio ilisababisha akakosa ubunge Segerea..mbaya zaid aliemkosesha akazawadiwa ubunge viti maalum
 
Mtatiro anatumika vibaya na CHADEMA kama hawajui hawa jamaa atajuta mda si mrefu. Yeye angekaaa na profesa lipumba wakazungumza, kuliko kushinda anamdhalilisha. Akumbuke kwenye siasa hakuna adui wakudumu wala rafiki wa kudumu.
Hawezi kujisimamia hata kidogo, Huyu ni wa kubebwabebwa tu. Maisha yake yanaenda kwa sababu unaweza unafiki
 
Back
Top Bottom