UKAWA timu yenu ya picha ovyo sana

UKAWA timu yenu ya picha ovyo sana

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
Mimi nilijua humu ntakuwa nakutana na mapicha ya Njombe na Iringa yakiwa na quality nzuri na kupigwa toka angle nzuri. Cha ajabu nakuta picha za tecno zenye gizagiza.

Hivi hamna wapiga picha professional?. Pia kitengo chenu cha kampeni mitandaoni either ni incompetent au kinawahujumu. Pengine hamna kabisa!
 
huyu makene hopeless kabisa. I wonder what are they doing. Kama vijukumu vidogo kama hivyo vinawashinda then mabadiliko tunayoyahubiri ni yepi?
 
huyu makene hopeless kabisa. I wonder what are they doing. Kama vijukumu vidogo kama hivyo vinawashinda then mabadiliko tunayoyahubiri ni yepi?

nasikia hakuna maelewano mazuri, Lowassa ye anahudumia watu wake tu alotoka nao ccm, hawa wengine haijulikani wanahudumiwaje, so wako somehoe dissappointed, na kiukweli hakuna organisation wala corrdination
 
sasa hao alotoka nao ccm si wafanye mambo?
 
huyu makene hopeless kabisa. I wonder what are they doing. Kama vijukumu vidogo kama hivyo vinawashinda then mabadiliko tunayoyahubiri ni yepi?
incompetence zingine zinafanya mtu uone aibu kuwa mfuasi wa ukawa. au kuna hujuma? Lowassa na duni hawana wapiga picha wataalamu?.
 
Maisha ya shortcut ni hatari sana, Lowasaa amemwaga pesa kwenye media zote ili kuaminisha watu upuuzi lakini kamwe hatuteteleki watz ..tutawanyoosha wasanii wote wa maigizo ya siasa
 
Eneo hili naona hawakujipanga . Wao wanavyoona wanapendwa wanabweteka. Mfano Magufuri amemchukua Buhohela mapemaaa anatembea naye anariport vema hadi raha ila angalia ukawa sasa hadi aibu
 
nasikia hakuna maelewano mazuri, Lowassa ye anahudumia watu wake tu alotoka nao ccm, hawa wengine haijulikani wanahudumiwaje, so wako somehoe dissappointed, na kiukweli hakuna organisation wala corrdination

Ukawa nao wamekumbatia ufisadi kwa hiyo tutawapigia wabunge na madiwani tu. Karatasi za kura za urais tutazirudisha nyeupe kwa kuwa hakuna anayefaa. Wabunge wa Ukawa wakiwa wengi rais wa ccm atalazimika kuwasambatatisha mafisadi. Rais wa Ukawa watamwonea aibu.
 
nasikia hakuna maelewano mazuri, Lowassa ye anahudumia watu wake tu alotoka nao ccm, hawa wengine haijulikani wanahudumiwaje, so wako somehoe dissappointed, na kiukweli hakuna organisation wala corrdination
Hata mimi nimesikia kutoka mama yako ambaye jana alikuwa chumbani kwa lowassa
 
SI tu katika eneo hilo hata katika eneo la mabango panashida.Bado picha za mgombea mh Lowasa hazijawekwa mtaani kwa kiwango cha kuridhisha.Kuna lile bango la ukawa la mabadiliko namna lilivyowekwa si kila mtu anaweza kulitafsiri.Mimi ninashauri ziwekwe picha za Lowasa instead ya zile za mabadiliko.Mfano pale ubungo lile bango hamjalitendea haki.
 
Hufahamu kama CHADEMA imenunuliwa na Lowassa.

Ofisi kuu ya CHADEMA kwa sasa iko Mikocheni.

Wanaoratibu ziara za Lowassa ni TimuLowassa!
 
Kweli kuna shida kwenye hili.... matukio hatuyaoni mapema yakiwa yanatokea... kama iringa na kwingineko.... hata ACT wasaliti jana waliweka vizuri sana mkutano wao hapa.... kwa picha na maelezo.... hivo inatulazimisha kupata taarifa wakati wa taarifa ya habari itv au kesho yake kwenye magazeti.... Makene plz tunajua hili unaliweza.... lifanyieni kazi... crew moja kwa mgombea uraisi na nyingine kwa Mwenza .....
 
Eww fisasi wetu lowasa, songa mbele baba, mwaka huu wataona double double..kuweko na pucha nzuri au mbaya si tunakupenda na tutakupigia kura, hatuuuzi sura hapa..mabadiliko..lowassa
 
hata mie naona kitengo cha social media kimepoa saaana na hata kurugenzi ya mawasiliano kwa ujumla kama huwa ipo nayo ni kimya sana...yani naona kama vile ukawa kwa sasa inapata pumzi kubwa kutokana na public support lakini wao kama wao i am sorry to say kuna kupwaya flani hivi...
Na je timu ya campain ikoje? maana naona kama vile campain inatiwa pumzi na wageni...
 
Mimi nilijua humu ntakuwa nakutana na mapicha ya Njombe na Iringa yakiwa na quality nzuri na kupigwa toka angle nzuri. Cha ajabu nakuta picha za tecno zenye gizagiza.

Hivi hamna wapiga picha professional?. Pia kitengo chenu cha kampeni mitandaoni either ni incompetent au kinawahujumu. Pengine hamna kabisa!

nenda tweeter huko au jukwaa la picha hapa sio maala pake hapa ni hoja tu
 
Back
Top Bottom