wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Kila nikipitia pitia medani za Siasa kwa bara sijaoni chama ambacho kitapata jimbo hata haya majimbo wanaomalizia octoba sioni hata mmoja kupata jimbo hata kama watapata nafikiri jimbo moja au mawili.
Kwa maana nimepita kwenye hayo majimbo yalioshikwa na upinzani wanalalamika kwa kusema hakuna mabadiliko yoyote na ndio hali imekuwa hovyo kabisa kama jimbo la hai anapotoka tundu mwanza mjini yote mbeya mjini tunduma nk kila mara tunashawishiwa kufanya vurugu eti ndio tutapata huduma Serikalini.
Kumbe Serikali inautaratibu wake itakafikia ndio itashighurikia