Ukawa ni umoja wa viongozi

Ukawa ni umoja wa viongozi

Mwl. Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
216
Reaction score
214
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.
 
Endeleeni kutoa povu mwaka huu.
 
Acha uongo kiongozi,uchaguzi wa serikali za mitaa ukawa walisimamisha mgombea mmoja. ACHA UPOTOSHAJI
 
Naona umeona habari za act hazilipi umekimbilia za UKAWA! wasaliti mna kazi aisee
 
hivi wewe ni mwalimu wa ngoma au kwaya? mbona hisa yako ya akili ipo below 47?
 
Sijui huo uchaguzi wa serikali za mtaa unauzungumzia wa wapi????? uzushi mwingine mbayaaa.
 
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Mgombea mmoja kwenye majimbo ya uchaguzi atasimamaje peke yake. Acha kutukana taaluma ya ualimu wewe. Mwalimu ni mtu makini hasa linapokuja swala la K K K.
 
Hofuyako nini? Waache wasaratike si wao? Kinachokuuma nini? Nashangaa unatumia muda wako kujadiri kitu unachokiona kinakufa badara ya kujadiri Lowassa kuombwa kugombea Uraisi, Dili na chama chako hawa waache wafe tu. Mkwamo mwaka huu mtasema mengi.
 
Mwl. kaijage nani kakwambia? labda uchanganye na zako kaka ukombozi wa wananchi hauwezi kuwa wa viongozi na kama ingekuwa hivyo mbona tayari ungeshakuwa umepatikana vile viongnozi wapo tangu vyama vianze ila nguvu ya wananchi ndo ilikosa, ukawa ni wananchi wa TZ
 
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Huwa nachelea kukuita mwalimu najisikia aibu kuona taaluma hii adhimu ikidhalilishwa waziwazi
 
Hofuyako nini? Waache wasaratike si wao? Kinachokuuma nini? Nashangaa unatumia muda wako kujadiri kitu unachokiona kinakufa badara ya kujadiri Lowassa kuombwa kugombea Uraisi, Dili na chama chako hawa waache wafe tu. Mkwamo mwaka huu mtasema mengi.

= kujadili
= badala

Samahani, wewe ni Mtanzania? na ulisoma hapa hapa Tanzania? nnahisi kama shule uliyokwenda ulienda kusomea ujinga.
 
FaizaFoxy nadhani yatosha kumwelewesha kosa lilipo. Kuanza kumzodoa juu ya yeye elimu yake ni kiwango tosha kusema watawala hawajaweka mfumo wenye kutoa elimu bora.

Ujinga tulionao watanzania wengi umechangiwa elimu duni.....weye ulibahatika vema kusaidia bila kuweka mipasho...
 
Last edited by a moderator:
Jaman jaribun kubalansi hiz habar mnazoandika ili ninaposoma m2 anaelewa na kujua ki2 kwa usahih, ucandike 2 bila kujua ukwel na uhakika wa hyo habari, tafakari chukua ha2a
 
Haya maneno unayasema kwa faida ya nani? wewe mwenyewe, Chama cha ACT, au wananchi wa TANZANIA? au ndo wewe unavyochukulia maana ya siasa!
 
FaizaFoxy nadhani yatosha kumwelewesha kosa lilipo. Kuanza kumzodoa juu ya yeye elimu yake ni kiwango tosha kusema watawala hawajaweka mfumo wenye kutoa elimu bora.

Ujinga tulionao watanzania wengi umechangiwa elimu duni.....weye ulibahatika vema kusaidia bila kuweka mipasho...

Ujinga ni wa kuzaliwa (gene-imprint), elimu ni kuzidisha maarifa tu, ukiwa mjinga hata usomeshwe upindukie utabaki kuwa mjinga tu. Kumbuka hilo.
 
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.
siwezi kushangaa kwani hata title yako inadharaulika kama mawazo yako.Je hii katiba inayopendekezwa ni ya nani vile Sita na kina....

Kwa ubongo wako kama huo umoja ni wa viongozi wa vyama je Prof Lipumba si kiongozi?Baada ya kuwapumbaza watoto huko mashuleni unataka utupumbaze na sie kwani hawajatosha!
 
Back
Top Bottom