Ukawa ni umoja wa viongozi

Ukawa ni umoja wa viongozi

Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Umekubali kutumika? Sawa e ndelea kutuonesha kiwango chako cha ujinga
 
Andamana ukauvunje kwan ww cinimwananchi ambae hujashirikishwa Hahaaa utakaa sana na kwausalit hufiki nduguu
 
Lipumba ni MUISLAM, Chademq hawawezi kukubali kumpigia kura
 
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Chadema hatuwezi kumpigia kura MSWAHILI LIPUMBA, sisi wanachadema tunamtaka PADRI SLAA tu.
 
Ujinga ni wa kuzaliwa (gene-imprint), elimu ni kuzidisha maarifa tu, ukiwa mjinga hata usomeshwe upindukie utabaki kuwa mjinga tu. Kumbuka hilo.

Mmmh hapo nachelea kukubaliana nawe... sasa kama elimu ni kuzidisha maarifa tu ni si kuondoa ujinga iweje useme mtu kenda kujifunza ujinga shuleni ilhali huo ujinga yupo nao ndani ya genes.

Ina maana shule zetu (hasa za umma) zatufunza ujinga??

:smile-big::smile-big:
 
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Jitahidi uwe una ficha kiwango cha ujinga ulicho nacho itakusaidia sana maishani mwako.
 
Mmmh hapo nachelea kukubaliana nawe... sasa kama elimu ni kuzidisha maarifa tu ni si kuondoa ujinga iweje useme mtu kenda kujifunza ujinga shuleni ilhali huo ujinga yupo nao ndani ya genes.

Ina maana shule zetu (hasa za umma) zatufunza ujinga??

:smile-big::smile-big:

Si lazima iwe shule ya umma. Shule hata usome upindukie wanakusomesha wanachotaka wao ambacho wewe hukijuwi. Ukiwa mjinga unabaki kuwa mjinga na unashindwa kuupima ukweli upi katika uliyofundishwa.

Mfano, unaweza kusomeshwa Nyerere, aliasisi TANU. Ni kweli kabisa, lakini Jee, peke yake? Unaambiwa ndiyo, halafu unakuja kumsikia Nyerere mwenyewe akisema jina la TANU walileta fulani na fulani tena walikuwa nalo toka walipokuwa Burma vitani. Sasa hapo ikiwa huwezi kujuwa kuwa walikuwepo na wengine na kumbe hata jina la TANU halijaanzishwa na kuasisiwa na Nyerere, na wewe bado unaamini tu kuwa yeye ndiye pekee muasisi wa TANU, ukishindwa kulikubali hilo la kuwa kuna waasisi wa TANU na walikuwa na hilo ina kabla hata ya Nyerere kuja Dar., inakuwa umejifunza nini shule zaidi ya ujinga? Fikiri.

cc Mohamed Said, Ritz
 
Last edited by a moderator:
ACT mkuu wa chama kawatangazia mtangaze madeni yenu tujue
 
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Mtoa mada
 
Attachments

  • 1427728123237.jpg
    1427728123237.jpg
    3.3 KB · Views: 113
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Vofaranga vya Ayatollah ZZK mnahangaika sana
 
Si lazima iwe shulr ya umma. Shule hata usome upindukie wanakusomesha wanachotaka wao ambacho wewe hukijuwi. Ukiwa mjinga unabaki kuwa mjinga na unashindwa kuupima ukweli upi katika uliyofundishwa.

Mfano, unaweza kusomeshwa Nyerere, aliasisi TANU. Ni kweli kabisa, lakini Jee, peke yake? Unaambiwa ndiyo, halafu unakuja kumsikia Nyerere mwenyewe akisema jina la TANU walileta fulani na fulani tena walikuwa nalo toka walipokuwa Burma vitani. Sasa hapo ikiwa huwezi kujuwa kuwa walikuwepo na wengine na kumbe hata jina la TANU halijaanzishwa na kuasisiwa na Nyerere, na wewe bado unaamini tu kuwa yeye ndiye pekee muasisi wa TANU, ukishindwa kulikubali hilo la kuwa kuna waasisi wa TANU na walikuwa na hilo ina kabla hata ya Nyerere kuja Dar., inakuwa umejifunza nini shule zaidi ya ujinga? Fikiri.

Hahahaaa!
Nimeupenda mfano wako na nimekuelewa uzuri...ila bado ingefaa unapomsahihisha mtu usilazimike kumzodoa. [sidhani kama wafanya hivyo ukiwa nyumbani pia]

Ingawa pia msimamo wako juu ya Nyerere na yamhusuyo naujua vema, nisingependa twelekee huko.
 
I don't think if this is an issue, as an Act we must focus in our matter. Let UKAWA do their business. Adui yetu ni mafisadi na wala rushwa
 
Hahahaaa!
Nimeupenda mfano wako na nimekuelewa uzuri...ila bado ingefaa unapomsahihisha mtu usilazimike kumzodoa. [sidhani kama wafanya hivyo ukiwa nyumbani pia]

Ingawa pia msimamo wako juu ya Nyerere na yamhusuyo naujua vema, nisingependa twelekee huko.

Ukimwambia mtu ukweli na akiwa haupendi ukweli, siku zote huona kuwa umemzodowa, ni wachache sana, wale tu ambao hawana genes za ujinga na hawajaukubali ujinga wanasomeshwa ndiyo ambao huuona na kuukubali ukweli kwa nia safi kabisa.
 
Back
Top Bottom