UKAWA ni Rafiki ya hawa wafuatao

UKAWA ni Rafiki ya hawa wafuatao

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Bodaboda,Mama na baba ntilie,Wamachinga,Maskini waliosahaulika kwa muda mrefu,wafanyakazi wa kada zote,wakulima,wasiojiwza,ombaomba,vijana,watoto,wazee,wawekezaji,wafanyabiashara wa daraja zote,waamini,Makabila yote,wasomi,wafungwa,maabusu,ombaomba wote,wanafunzi wote,Nchi majirani,Rafiki ya CCM wote,Act,na ni rafiki yako.Mpe kura yako Lowasa,kumaliza mateso ya ugumu wa maisha
 
Kurahisisha Tu Kazi Ungesema UKAWA Ni Rafiki Ya Wapumbavu Na Malofa................. Kama Alivyowaita Rais Mstaafu NINAYEMPENDA KULIKOTUKUKA Wa Awamu Ya Tatu Na Genius Benjamin William Mkapa.
 
Mgonjwa wa kinyeo hunaga jipya hata siku moja
 
Ata kama angekuwa rafiki Wa bilgets nin rostam!mbona hamhoji escrow vip?waliokula walikuwa maskini??
 
Kurahisisha Tu Kazi Ungesema UKAWA Ni Rafiki Ya Wapumbavu Na Malofa................. Kama Alivyowaita Rais Mstaafu NINAYEMPENDA KULIKOTUKUKA Wa Awamu Ya Tatu Na Genius Benjamin William Mkapa.

Alafu we jamaa utakuwa ni mwezi mchanga.
 
Bodaboda,Mama na baba ntilie,Wamachinga,Maskini waliosahaulika kwa muda mrefu,wafanyakazi wa kada zote,wakulima,wasiojiwza,ombaomba,vijana,watoto,wazee,wawekezaji,wafanyabiashara wa daraja zote,waamini,Makabila yote,wasomi,wafungwa,maabusu,ombaomba wote,wanafunzi wote,Nchi majirani,Rafiki ya CCM wote,Act,na ni rafiki yako.Mpe kura yako Lowasa,kumaliza mateso ya ugumu wa maisha
Umewasahau wapumbavu na malofa.
 
Back
Top Bottom