Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Mbona tulilala siku 3 vituoni kusubiri kuandikishwa? Na je matokeo mtambandikia nani?Acheni uhuni wenu.kila mtu akibaki kituoni itakuwa fujo.wewe huelewi nini!
Acheni uhuni wenu.kila mtu akibaki kituoni itakuwa fujo.wewe huelewi nini!
Wana jamvi.... hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza tia ukakasi sasa... leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisutiza watakao baki vituoni watashughulikiwa.... nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana ccm wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu... Katika nchi ambayo tume ya uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadirishwa chini ya mwez mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo. Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kushinikiza, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zidi ya mh. Masha aliye kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Hii yote inaleta Sinto fahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimiazwa kwa njia hii.
Pia nimemuona mkurugenzi wa uchaguzi wa nec akiiweka kama isaue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.
Je kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usionpungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini ukawa wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?
Nia ni kuepusha damu ya watz kumwagika maana nnavo ona, tunako elekea sio kuzuri ifikapp tarehe 25 oktoba...
Nawakilisha.
Wana jamvi.... hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa... leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakao baki vituoni watashughulikiwa.... nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana ccm wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu... Katika nchi ambayo tume ya uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadirishwa chini ya mwez mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo. Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Hii yote inaleta Sinto fahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimiazwa kwa njia hii.
Pia nimemuona mkurugenzi wa uchaguzi wa nec akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.
Je kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usionpungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini ukawa wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?
Nia ni kuepusha damu ya watz kumwagika maana nnavo ona, tunako elekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 oktoba...
Nawakilisha.
Acheni uhuni wenu.kila mtu akibaki kituoni itakuwa fujo.wewe huelewi nini!
Kamanda tunauzoefu na mahakama zetu. Wengi was majaji ni wana was system wanaweza wakatumika kutoa tafsiri mbovu na ya ajabu. Au wakachelewesha huo uamuzi.Duniani kote including Nigeria inaruhusiwa. Na raisi hana mamlaka ya kuzungumzia mambo ya uchaguzi. Ni tume tu ndiyo yenye mamlaka hayo. Dawa yake ni watu kujipanga na kukaa nje ya vituo kwa mita hizo. Kama ni kosa watupe vifungu vya sheria otherwise tusubiri matokea. Wasije wakataka kuwalazimisha mawakala. ICC is waiting.
Umeshaambiwa piga kura sepa unalinda kura kwani wewe ni wakara sasa mjifanye wabishi upige kura ukae kituoni uone kitakacho kutokea unavunjwa miguu unasekwa ndani tii sheria bila shuruti vinginevyo utaona vyombo vyadola vinavyo fanya kazi yake
Mkuu mawakala wanaweza tishwa.... wanaweza nunuliwa.... tumeyaona haya na kuyasikia wafuasi mahili wa upinzania kununuliwa.....Hivi nyie mnaowaza kuibiwa kura, mawakala wenu wanafanya kazi gan ndan ya kituo
Wanajamvi,
Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.
Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.
Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.
Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?
Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.
Nawakilisha.
Nimekuelewa mkuu ila wakiruhusu mtu kupiga kura mahali popote, nahofia magamba kujipanga na kupiga kura zaidi ya mara moja.... naona kama kuna hatari.... wanafunzi wajipange, wafanye harambee, tuwawezeshe wakapigie vituoni kwao.... kwa nnavo ona....Hata mimi nilipata wazo kama hili na ikiwezekana waongeza na dai la kutaka kura ya uraisi iruhusiwe kupigiwa popote ili mradi tu mtu awe na kitambulisho (kichinjio).Hili jambo linaathiri watu wengi hasa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi watapoteza haki yao ya kupiga kura
CHADEMA fungueni kesi Mahakama Kuu kwa hati ya dharura kama kisheria inaruhusiwa (mimi si mwanasheria).