napata uhondo wa ukawa,dr slaa anamwaga madini arusha... jiokotee hapa Arusha Mambo FM Radio - Home
Bora umeamua kuw reporter wa UKAWA!Umeona matokeo ya india?BJP 142 seats Congress 21 Seats,jiandaeni kukimbia nchiNaona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.
Habari za bara la hindi hazituhusu sana.Turudi hapa hapa Africa. Uliyaona matokeo ya Africa kusini?Bora umeamua kuw reporter wa UKAWA!Umeona matokeo ya india?BJP 142 seats Congress 21 Seats,jiandaeni kukimbia nchi
Uwanja umefurika watu niwengi, kama ccm baado mnaiwaza Arusha imekula kwenu Arusha watu wanajitambua Serekali 3 ndio habari ya mjini kwa sasa.. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu natutamaliza na Mungu....