UKAWA ndani ya jiji la Arusha

UKAWA ndani ya jiji la Arusha

Nipo maeneo ya Makao mapya watu wanashahuku kubwa sana.....Watu wanajiandaa kwenda Kilombero.....

Ni raha tupu
 
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.

Unawashwa sana weww...
 
Nipo maeneo ya Makao mapya watu wanashahuku kubwa sana.....Watu wanajiandaa kwenda Kilombero.....

Ni raha tupu

mji umepooza sana kweli wana arusha wameichoka sana chadema
 
Huwezi ukajiita MSALANI halafu mambo yako yakatofautiana na mambo ya chooni.
Halafu CHADEMA wana ushamba flani hivi. Wakiwa kwenye mamisafara yao. Kila wanayemuona wanadhani ni mwenzao wanaanza kumuonyeshea vidole viwili. Inaudhi sana.
 
leo ni siku nzuri ya vibaka wa arusha kufanya uporaji ndio maana wamefurahi sana
 
...lol!!!! Mimi pia nilitaka kumuuliza swali hilo hilo, hii ni dalili ya kuweweseka kuhusu nguvu ya UKAWA kuelekea 2015. Tutaona na kusikia mengi sana dhidi ya UKAWA.

makubwa tangu lini na wewe umekuwa ukiripoti habari za chadema?
 
Halafu CHADEMA wana ushamba flani hivi. Wakiwa kwenye mamisafara yao. Kila wanayemuona wanadhani ni mwenzao wanaanza kumuonyeshea vidole viwili. Inaudhi sana.

Arusha yote ni Chadema......Vidole viwili ndo alama ya mkoa wa Arusha....
 
Hivi Crashwise si ulisema patakuwa na maandamano kutoka philips mpaka uwanja wa Samunge? Au Policcm wamekataza?
 
Last edited by a moderator:
Leo nahudhuria huo mkutano na nitakuwa nawapa updates ya porojo na matusi yatakayozungmzwa huko. Ila ngoja nijue hali ya usalama hapo mkutanoni ikoje. Maana mara nyingi usalama ni bidhaa adimu sana kwenye mikutano ya UKAWA.
 
Halafu CHADEMA wana ushamba flani hivi. Wakiwa kwenye mamisafara yao. Kila wanayemuona wanadhani ni mwenzao wanaanza kumuonyeshea vidole viwili. Inaudhi sana.

......Kila mwananchi Arusha ni Kamanda !!!! na G LEMA ndo Kamanda Mkuu upo hapo !!
 
Back
Top Bottom