UKAWA ndani ya jiji la Arusha

UKAWA ndani ya jiji la Arusha

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
18,925
Reaction score
13,279
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.
 
Acha unafki nenda kaishi na mende wa choon,
Mlisema hivyo hivyo tukawapiga mimba kwenye udiwan,
Nikuambie ww choo ccm arusha hakuna limebaki jina tu
 
Kwa lugha ya kwetu watu kama wewe tunawaita 'PUSULU' yaani mtu anaetoa ushuzi wenye harufu mbaya sana.
 
Wewe mbona muda wa kumfatilia Dr slaa unao,
 
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.

makubwa tangu lini na wewe umekuwa ukiripoti habari za chadema?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Halafu sikuwa nimeangalia vizuri kumbe wewe ni 'MSALANI' kumbe nimelenga mle mle kuwa wewe ni pusulu. Halafu toa hiyo harufu yako ya msalani hapa.
 
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.

hebu nikumbushe kuhusu zile 4:0!
 
Wewe mbona muda wa kumfatilia Dr slaa unao,

Mimi nilikuwa nimesimama hapa mitaa ya Metropole nje ya duka langu, nashangaa naona mtu kama BABU ananipungia. Ikabidi niangalie pembeni.
 
Endeleeni kutumia kete ya 'mzee' na 'kudhoofu' tuone kama itawasaidia ccm.

Udini na Ukanda zimefeli sasa mmekuwa mungu na MAYAHYA wa kujua nani anakufa baadae.

Angalia sana MSALANI maelezo yako kwa kuwa Mungu anakutazama na ndo ameushikilia uhai wako.
 
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.

Muda mwingine tumiaga kichwa kabla ya!
 
Endeleeni kutumia kete ya 'mzee' na 'kudhoofu' tuone kama itawasaidia ccm.

Udini na Ukanda zimefeli sasa mmekuwa mungu na MAYAHYA wa kujua nani anakufa baadae.

Angalia sana MSALANI maelezo yako kwa kuwa Mungu anakutazama na ndo ameushikilia uhai wako.

Mimi nimeripoti tu hali halisi hayo mengine ni tafsiri yako tu.
 
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na hamasa ya kumpungia pia.
Arusha ya sasa sio ile zamani watu hawana muda na Chadema. Kila mmoja yuko bize na kutafuta riziki yake.

..........watu wanaipenda CHADEMA tatizo njaa zao tu !!!!
 
Mimi nilikuwa nimesimama hapa mitaa ya Metropole nje ya duka langu, nashangaa naona mtu kama BABU ananipungia. Ikabidi niangalie pembeni.

Huwezi ukajiita MSALANI halafu mambo yako yakatofautiana na mambo ya chooni.
 
Mkuu Chopa inazunguka Jiji lote la Arusha...

Watu wanaruka kwa shangwe huku vidole vitatu vikipamba anga....
 
We mbulula wa LB7 Vipi wewe?Naona jana kuna mtu alikupumulia kisogoni
 
Back
Top Bottom