Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
umoja wa kutetea katiba ya wananchi ukawa wametoa ratiba inayoonyesha tarehe 16.5.2014 watakuwa Arusha kwenye uwanja wa ngarenaro shule ya msingi kabla ya mkutano kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo anzia Philips,Arusha-moshi road
East Africa
Polisi line
Mwenge stend kuu hadi viwanja vya kilombero/ngarenaro...
njooni tudai katiba ya wananchi na siyo katiba ya majangili kama inayo ng'ang'aniwa na baadhi ya wabunge wa chama cha Mapinduzi kwa maelekeo ya mtu mmoja kikwete..