Absolutely nonsense, wakiwa ndani bila influence au mchango it is simply useless, walipoingia kwenye bunge la Katiba uliongezeka nini? They are not there to say yes sir... They are there to be given chance to speak and have fair ruling.[/QUOTE
Sasa unaonaje kama wakigoma kugombea na Kule majimboni kama walivyofanya wenzao kule Zanzibar kama kweli hawasikilizwi manake hakuna namna, au we unaonaje?
Absolutely nonsense, wakiwa ndani bila influence au mchango it is simply useless, walipoingia kwenye bunge la Katiba uliongezeka nini? They are not there to say yes sir... They are there to be given chance to speak and have fair ruling.