Tumechoka na siasa zenu za maji taka, tumewatuma kutuwakilisha sio kuendekeza hizo propaganda, Magufuli kawashika pabaya mpaka unakosa hoja bungeni.Mnatukera wapiga kura wenu matatizo yetu nani atatusemea mjengoni, vita vya tembo nyasi ndo ziumiazo nyasi ndo sisi wapiga kura, acheni kuwa hivyo rudini ndani mkajenge hoja.
Public sympathy hampati ng'oo.
Public sympathy hampati ng'oo.