saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
Katika kile kizungumkuti cha umeya wa kinondoni leo kimechukua sura mpya baada ukawa nao kuleta wabunge wa viti maalum toka zanzibar na kuizidi idaadi ya mahasimu wao kisiasa ccm. mkurugenzi kuona kuwa ccm imezidiwa kwa idadi ya wabunge mkurugenzi akaahirisha uchauguzi kwa madai kuwa amepata pingamizi la kimahaka toka mahakama ya kisutu. kama mtakumbuka jana mahakama kuu ilikataa pingamizi kama hilo lililoletwa na ukawa na kuamrisha uchaguzi uendelee leo.