UKAWA na yao, huku CCM inacheka

UKAWA na yao, huku CCM inacheka

jun255

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
391
Reaction score
280
YA ZANZIBAR NA CHAMA CHANGU HUKO UKAWA NA VIROBA VYAO

Uchaguzi wa Zanzibar ulifanyika kwa amani na kumalizika kwa amani na pia niwasifu Wazanzibar kwa kudumisha aman mpaka muda huu kitu ambacho hakuna aliyekitarajia.

Pili nisifu chama cha wananchi kwa kuwa wastaarabu mpaka sasa kwa sababu ingekuwa ni CHADEMA mpaka sasa pangeshachimbika.

Lakini hapa sasa tuweke mapenzi ya chama na kuongea ukweli kwa ajili ya watanzania wenzetu wa visiwani!

Unapokuwa kwenye mpambano kuna kushindwa na kushinda na siku zote lazima ujiandae kisaikolojia kwa lolote,na pale mwenzio anapokushinda haijalishi ni mbinu gani katumia lazima ukubali.

Cuf wameshinda huko Zanzibar,nakiomba chama changu kikubali matokeo na kuunda serikali ya kitaifa ikiongozwa na Cuf! Kukubali kushindwa sio dhambi!
Hata kama Cuf watakuwa wametumia mbinu chafu ni sawa tu kwani round hii wametuzid ujanja! Tunapokataa kuwatangaza hebu tujiulize nafsi zetu ingekuwa sisi ndo tumeshinda hata kwa mbinu chafu tungekubali kufutwa uchaguzi?? Jibu ni hapana!!
Je sehemu zote tunazotangazwa washindi huwa tumeshinda kiharali? Jibu tunalijua!! Hivyo tukiri tu kuwa mwaka huu tuliweka nguvu kubwa kupambana na Lowasa na kusahau Zanzibar na wenzetu wakatumia nafasi hiyo kutuchezea kete na kutushinda!

Kwa heshima ya chama chetu tukubali kushindwa na kujipanga upya!! Tupunguze ubabe tafadhali.

Upande wa pili kwa wanywa viroba wananishangaza sana!!
Juzi bungeni walifanya kitu kilichoniacha mdomo wazi! Kupiga makelele kama wavuta bangi mpaka kuondolewa.

Ukikaa nao utasikia hili bunge sio halali kwa sababu ni la Tanganyika na halishilikishi wazanzibar! Kweli??? Kitu kama sio halali upo unafanya nini? Mngezila tangu mwanzo wa bunge basi!!

hivi kuna posho ilitolewa ya vikao vya juzi??? Mlipokea posho ya bunge lisilo halali? Acheni kulaghai wananchi!!

Nyie mmetumwa kuwawakilisha wananchi na sio kukimbia bunge! Bunge ni halali na serikali iliyoko madarakani ni halali ndo maana mnahudhulia na kupokea posho!

Kama tatizo ni Shein kwanini msifate taratibu zinazotakiwa kuliko kupiga makelele kama walevi? Hivi wananchi wanawaonaje?

Tatizo la Chadema ni uoga na kujaa ujinga! Watu wamekuwa wanamuogopa Mbowe kama Mungu wao huku wakiogopa kuitwa wasaliti! Hata kuhoji hakuna? Atakachosema mnafata tu kama nyumbu bila kuhoji???

Badilisheni chama chenu kutoka katika umiliki wa mtu mmoja na kuwa cha watanzania ili japo mshawishi watu kukipenda! Tofauti na hivyo hakuna siku mtashika dola mpaka Mbowe akifa"!

Nawasilisha!!!
 
Eti huu nao ni uchambuzi......afadhali tu ulivyoweka wazi kuwa u kada wa CCM, hucho ndicho nilichokiona ila si uchambuzi, hembu tuongelee kufuata mkumbo na uoga......Magufuli kafuta safari za nje kwa sababu zinalitia Taifa hasara, misukule munapiga makofi, wakati kina Mbowe na wenzake wanasema hizi safari zinatia hasara Taifa na mulikuwa munawatukana na kusema zina Tija kwa Taifa,CDM wamesema ndani ya musimu yote ya bunge kuwa sheria za manunuzi hazifuatwi na zinatoa mwanya wa rushwa, hakuna aliyewasikiza zaidi ya kuwaita waongo....leo kasema Magufuli, fuata upepo wote munashangili......nakumbuka Mbowe alishahoji siku moja khs ujenzi wa jengo la VIP pale airport, gharama zake mukataka kumtoa roho.....leo Magufuli anasema bic inanunuliwa kwa elfu 10, makofi na vifijo......meno ya tembo, imesemwa mara nyingi kuna wahusika huko serikalini wanashirikiana na majangili, mpk ikasemwa ndege ya Rais wa China ilisafirisha shehena, bungeni mukaja juu hatari.....juzi kasema Magufuli.....mukalipuka na makofi ya hatari.....sijataka kuongelea ya zanzibar kwa sasa, nimeamua tu kukuonyesha ni nani nyumbu na mwenye nidhamu ya woga kati ya CCM na CDM, hembu pima uone, mifano ni mingi ila tafakari hayo machache kwanza.
 
Weka uchambuzi wako sio kupiga kelele mbona unaegemea upande mmoja?
 
Bora wengine wanakunywa viroba umechanganya umekunywa konyagi iliyochanganywa na tindikari naona inakukata maini. Upumbavu umekuzidi acha kuchaza saver, mods toa huu ujinga
 
Tatizo la WAGACHA aka CHODOMO wengi UKIMGUSA mzee wa kubadilisha GEAR ANGANI....umekula matusi...duh jamaa kweli hili GENGE kalidhibiti...
 
Sio kelele mnakumbushwa. Kama humuamini angalia hansard

Mimi ni mwana ccm but napochambua siegemei mapenzi ya chama bali ukweli na ukawa msichotaka ni kuambiwa ukweli kuhusu mbowe
 
Kumbe kuzunguka kwako kote uko lengo lilikuwa umtaje mbowe tu...ok acha wanywe viroba lakn wakitafuta haki itendeke.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Usijipotezee muda kuongea na hawo watoto spika kapewa kazi ya kuwalea ili wajijue utoto wao na kisha watakuwa taratibu .vijana wanajifunza nini kwa kura hizi za mwaka huu..je wamechagua wawakilishi au watoto
 
Balaaaaa😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom