Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,085
Ni bahati mbaya tu kwamba kuna watu wanafikiri wanaweza kuishi kwa kupika uongo kama huu!
Unafiki wa Sitta na CCM wenzake wanataka kugeuza BMK fake linaloendelea kuwa ni kiwanda cha kutengeneza majungu na fitna zisizo msaada...
UKAWA ina uongozi wake. Ina utaratibu wake wa kusema, kuwasiliana na umma na kutoa taarifa au habari.
Haijawahi kumteua 'ndumilakuwili' yeyote kuwa msemaji wake. Walipotoka bungeni kwa ajili ya kusimamia maslahi na matakwa ya wananchi hawakusemewa na Sitta wala mtu mwingine wa aina yake, tena kutoka CCM. Walisema wao!
Modes of Operandi ya kuendelea na mchakato huu let alone kurudi huko kama CCM wanavyotaka, wameshaitoa sasa huo uzabi zabina wa kutunga hekaya unaofanywa na watu wazima unasaidia kitu gani? Cheating their own brains for whose benefits?
Wanazungumzia posho...so what?
Hivi yupi anayefanya ufisadi wa posho au mwingine wowote in the first place kwenye huu mchakato wa katiba? Wanataka tujadili hili logically?
Mathalani hivi anayepinga rasimu nzima ya katiba baada ya mchakato uliogharimu mabilioni ya fedha, kwa sababu tu anataka aliyokuwa nayo yeye ndo yaingizwe, anaitwaje kama suala linataka kuwa rounded up kwenye posho!?!?!
Tangu lini CCM hawa hawa ambao majuzi wamekiri wenyewe kuwa serikali yao imejaa rushwa, wameanza kuumizwa sana na matumizi mabovu ambayo umekuwa msingi wao wa kuendesha serikali?
Hii ni sehemu ya danganya toto inayofanywa na watu wazima dhidi ya watu wazima wenzao eti kupinguza mori na ari itakayoanza kuamushwa kesho hapo Kibandamaiti.
Kama wanafikiria kwa kujidanganya kuwa UKAWA si lolote si chochote, mbona wanapoteza muda kuwazungumzia kuanzia wanapofungua bunge hadi wanapofunga?