UKAWA na uongo wa mtu mzima Samuel Sitta

UKAWA na uongo wa mtu mzima Samuel Sitta

CHADEMA mnafurahisha sana!

Kwa hiyo wewe Makene unayewasemea UKAWA ndiyo umekuwa officially msemaji wake?.

Wewe unatofauti gani na huyu unayemzodoa na kudai siyo msemaji wa UKAWA.

Kadri siku zinavyojibainisha, baadhi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA mtakuwa busy kutoa matamko kama ilivyo jadi ya CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uwongo mungu hakai na wavuruga amani ...wanakimbia hoja bungeni hawa wataongoza nchii Kweli labda 2100

wavuruga amani ni intaharamwe, wale ambao wanabadili rasimu ya katiba iliyoteuliwa na wao wenyewe.
 
..i'm very disappointed by Sitta's performance in the CA...yaani kwa kweli Sitta anafadhaisha sana....haya anayofanya ni kwa kuwa anasaka kupewa nafasi na ccm kugombea urais come 2015.....hii imempa sitta upofu wa ajabu...mithili ya kugeuza bunge kuwa ukumbi wa ccm wa mipasho na kejeli kwa rasimu ya katiba na tume ya katiba...na hata kwa UKAWA waliomwamini mwanzoni na hata kuamua kumpa kura zao kama speaker.....this is so sad yaani.....huyu si sitta wa lile bunge la 9 la JMT.....Hizi siasa chafu zinawafanya hawa majamaa kuwa kama matahahira...inasikitisha sana...

....My take:
... Huyu sitta kwa matendo yake mwisho wake utakuwa mbaya sana hapo 2015....maana ccm watamtosa kiti cha urais...na hapo ndipo atakapoathirika vibaya kiakili na kimwili.....huu ndio utakuwa mwisho wake......ni swala la mda tu mambo haya....Kitendo cha kuachia kejeli na matusi kwa tume ya katiba na mzee Warioba hakitawaacha wanafik hawa....

...Wito wangu kwa UKAWA na viongozi waoote.....chonde chonde someni nyakati....acheni ubinafsi na unganeni muunganishe nguvu ili msimamishe mtu makini wa nguvu atakayegombea urais 2015....mtu atakayekubalika kwa vyama vyote vya upinzani nchini...mtu atakayepigiwa kampeni na vyama vyote vya upinzani nchini ili kuitoa madarakani ccm....Pia UKAWA mjipange kusimamisha watu makini watakaogombea nafasi mmbalimbali za ubunge hapo 2015...watu wanaokubalika kutokana na maeneo na vyama vyao.....Hii itawasaidia kupata viti vingi bungeni...na hivyo kuweza kuwadhibiti hawa ccm wanaowasumbua kwa wingi wao sasa.....

...Ni kwakuunganissh nguvu kwenye chaguzi za nchi hii kutakaowaondoa ccm madarakani.....maana lazima UKAWA wajue kuwa sasa katiba mpya awatu haitapatikana kwa uchaguz wa 2015....ccm wanafanya yote haya ili rasimu watakayochakachua ikataliwe na wananchi.....na ili katiba iliyopo sasa iendelee kutumika kwenye uchaguzi wa 2015....Lazima UKAWA waungane haswa sasa.....jifunzeni Kenya walivyofanya kuitoa KANU madarakani.....bila hivyo ccm hawatakubali kunyang'anywa madaraka kamwe....watu hawa tunawaona bungeni si watu wa kuachia madaraka hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura.....kauli zao zinaonyesha pasi na shaka.....chukueni hatua msiake na ccm kwenye mazungumzo...haitawasaidia....msirudie makosa tena...wananchi wanawasoma UKAWA....
 
CHADEMA mnafurahisha sana!

Kwa hiyo wewe Makene unayewasemea UKAWA ndiyo umekuwa officially msemaji wake?.

Wewe unatofauti gani na huyu unayemzodoa na kudai siyo msemaji wa UKAWA.

Kadri siku zinavyojibainisha, baadhi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA mtakuwa busy kutoa matamko kama ilivyo jadi ya CHADEMA.
Vipi leo unaelekea wapi na kamera yako?
 
Back
Top Bottom