UKAWA na uongo wa mtu mzima Samuel Sitta

UKAWA na uongo wa mtu mzima Samuel Sitta

Hawa UKAWA ni Wendawazimu, Mashetani, Mazimwi, Majuha, Majini yasiyokuwa na huruma hata chembe kwa Watanzania, Watu wanatoka Bungeni bila kwanza kutuuliza sisi Watanzania halafu wanarudi tena bungeni kupanga foleni ya kuchukua bposho. Hakika watu hawa ni maiti zinazotembea. Ni Mbwa kasoro mikia.

Mtu kutofautiana mtazamo na wewe ndo matusi yote hayo?hiyo ndo demokrasia hatuwezi kuwa na mawazo sawa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Halafu cha kusikitisha, ni mchungaji mmoja ambaye ni mjumbe wa BMK kusimama mwishoni mwa Bunge akiomba kutoa taarifa. Taarifa aliyoitoa karibu nitapike. Eti anadai kwamba tangu Ukawa waondoke Bungeni, amepokea simu nyingi zikipongeza hali ya bunge na kutaka iendelee hivyo hivyo. Akaenda mbali sana kwa kusema kwamba wananchi waliompigia simu wameusifia sana uongozi wa Six. Kweli uchumia tumbo ni kitu kibaya sana.
Mchungaji njaa uyo,waumini wamejitambua matokeo yake acc.ya M-pesa inasoma negative
 
Sita ni mwongo kabisa...huyu jamaa huwa haaminiki

Wekeni orodha ya Wana UKAWA wote ili tukuonesheni waliorejea mpaka siti walizokaa! Tatizo mna Mboni za Macho ila hamuoni, mna ngoma za masikio ila hamsikii
 
Halafu cha kusikitisha, ni mchungaji mmoja ambaye ni mjumbe wa BMK kusimama mwishoni mwa Bunge akiomba kutoa taarifa. Taarifa aliyoitoa karibu nitapike. Eti anadai kwamba tangu Ukawa waondoke Bungeni, amepokea simu nyingi zikipongeza hali ya bunge na kutaka iendelee hivyo hivyo. Akaenda mbali sana kwa kusema kwamba wananchi waliompigia simu wameusifia sana uongozi wa Six. Kweli uchumia tumbo ni kitu kibaya sana.

Wachungaji wanapokea Rushwa hata makanisani haswa wale makada wa ccm
 
kweli maccm yameishiwa hoja,yaani wanaendeleza uzandiki na usakaji wa matonge. anglia mchangiaji anasema tutavuka nchi ya ahadi bila malaika, nchi gani hiyo ya ahadi kwake? nchi tujuayo ambayo ni ahadi kutoka kwa Mungu ni moja tu yaani TANGANYIKA watake wasitake saa yakombozi hii hapa.
 
Kama mwenyekiti wasifu wake ni mipasho wajumbe itakuaje,leo bungeni full mipasho hakuna hoja nashangaa ukawa wamegeuzwa rasimu ya ccm,sitegemei kuangalia ili bunge tena mbaya zaidi hawasemi wanaboresha nini bali utasikia itaboreshwa zaidi..
 
Hawa UKAWA ni Wendawazimu, Mashetani, Mazimwi, Majuha, Majini yasiyokuwa na huruma hata chembe kwa Watanzania, Watu wanatoka Bungeni bila kwanza kutuuliza sisi Watanzania halafu wanarudi tena bungeni kupanga foleni ya kuchukua posho. Hakika watu hawa ni maiti zinazotembea. Ni Mbwa kasoro mikia.

....unaitukana ccm !!!!
 
Kifo cha ccm kitakua kibaya sana, kwa sababu environmental changes za death phases zinakuwa worse and worse everyday.



RIP ccm!!
 
Mi nadhani hatuko fair, Sita yuko Dodoma tunasema ni muongo. Mtoa mada sijui yuko wapi tunaona ni mkweli. Nadhani kuna tatizo hapa, labda nielimishwe zaidi
 
hongera nyingi sana kwa UKAWA, palipo na UKAWA ni dalili ya uwepo wa MUNGU maana UKAWA ni HAKI na AMANI

Huu ni uwongo mungu hakai na wavuruga amani ...wanakimbia hoja bungeni hawa wataongoza nchii Kweli labda 2100
 
Hivi kama umekab karibu na meza na umechangia unacho meza ccm hofu ya nini kama mlicho panga ndicho mnacho taka wala si wananchi wanacho taka endeleni bila kuwazungumzia ukawa ili tujue kuwa tumerudi kwenye mfumo wa mwaka 1965
 
Kifo cha ccm kitakua kibaya sana, kwa sababu environmental changes za death phases zinakuwa worse and worse everyday.



RIP ccm!!

nccr,tlp,na cdm ni mfu Ccm itatawala Mpaka mwisho subirini 2015,umesahau igunga,kalenga na chalinzeeee...Kidumu cha tawala
 
Si vyema sana kuwatukana hawa wazee wetu, ila nadhani ilipaswa kuwepo kanuni kuwa kabla ya mtu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti, lazima apimwe akili.

Hao unaowaita wazee mbona wanashirikiana na vijana kumchanachana Warioba hadharani tena as an indivisual? Lakini inashangaza zaidi waziri akisimama na kusema watukutu hawapo na kwa sababu hiyo hakuja zomeazomea. Sasa alitaka hao waliobaki ambao ni chama kimoja wazomeane wao kwa wao? It is pathetic badala ya kujadili rasimu wanapangua hoja zilizojengwa na watu ambao wako nje ya jengo. Sikutegema waziri mwenye digrii ya uzamivu aongee yale aliyoyaongea. Hii nchi tumekwisha. Hivi hakuna watu wenye uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kusimama na kudai waasisi wasidharauliwe? Naomba waniambie Zanzibar iliungana na muungano wa nchi zipi?
 
nccr,tlp,na cdm ni mfu Ccm itatawala Mpaka mwisho subirini 2015,umesahau igunga,kalenga na chalinzeeee...Kidumu cha tawala

Unajidanganya tu! Hivi wale wabunge wa Kalenga, Chalinze na Igunga umemsikia hata mmoja huko bungeni. Huwezi kuwa na wabunge vilaza ukategemea utaweza kuongoza nchi yenye watu werevu na akili kama Tanzania. Wenzenu wanathaminisha dhahabu nyie mnathaminisha mawe.

Yule mwendawazimu mwingine kaenda kanisani kuzungumzia 'hofu' zake. A.s.s. h.o.l.e. Huyu naye ni kiongozi.

Endeleeni kujidanganya mtatawala milele, mtakuja kuaibika!!!
 
Wekeni orodha ya
Wana UKAWA wote ili tukuonesheni waliorejea mpaka siti walizokaa! Tatizo
mna Mboni za Macho ila hamuoni, mna ngoma za masikio ila
hamsikii

Dada ktk wanaccm ninao waheshimu ktk ujenzi wa hoja zao wewe ni mmoja wao na kwahakika unamzidi nape kwa mbali sana. Sasa fanya jambo moja la msingi hebu tuwekee hapa majina ya hao unaodai ni wanachama wa Ukawa bila kusubiri sisi tukuwekee majina ya watu zaidi ya mia mbili hapa.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom