- Thread starter
- #61
Kwa sasa ukimwondoa Mbowe naweza kusema Maalimu Seif ndiye mwanasiasa mwenye msimamo thabiti Tanzania hana tamaa wala njaa kama za kina Mrema, Cheyo na Lipumba vinginevyo hadi leo angekuwa ndani ya SUK.Maalim Seif aliyaona mbali haya lakini wengi wetu tulishindwa kumuelewa. Nina hakika mkakati huu umekuja baada ya mazungumzo ya majuzi kati ya Maalim na uongozi wa Chadema. Kwa wakati ule Maalim alikuwa akijibu hoja kuwa si suala la.kushinda au kuwa serikalini (SUK) ni suala la principles na sheria kufatwa..
As things go, 2020 election, tume itaamua wabunge gani wa upinzani wapite na wale wote wenye msimamo na nguvu bungeni, to wit; Mbowe, Lissu, Heche, Mnyika, Kubenea, Sugu, Mdee, Mchungaji, Easter to name the few, hawataingia bungeni hata kampeni wafanye kwa Dreamliner!
Mind you, hii ilikuwa ni intro tu, ngoma yote imekuwa reserved for 2020 na iwe practised mpaka Zanzibar.
Tusidanganyane, uchaguzi Tanzania bila ya CDM na CUF (halali ya Maalim), hauwezi kutambulika kimataifa. Huwezi kumng'ang'ani mwanamke anayepigwa nje kwa sababu eti mkaka anayempiga atafaidi. Muwache na uone kama watadumu! CCM watachijana wenyewe kwenye kura zao za maoni na michujo. Walioshiriki katika wizi huu na wao watatendwa tu katika chaguzi zao za ndani. Hawawezi wote wakafaidika na uovu huu. We are to wait and see!
Hata mimi naamini kabla ya Chadema kujitoa lazima Mbowe alipata ushauri wa Seif na kupanga mikakati ya kuwa na nguvu moja kuelekea 2020..
Bila Chadema na CUF kuja na mikakati ya kuishinikiza tume come 2020 sijui kama watapata hata mbunge mmoja. Nisome hapa.
CHADEMA, CUF mahesabu makali kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2020. - JamiiForums