tutafika_tunakimbia
Member
- Sep 5, 2015
- 42
- 8
Jana mwanangu wa miaka 10 alisema sorry dad kwa sasa mimi nampenda Magufuli.... lakini alisema hivo baada ya kuona star tv Magufuli akiita mtoto mmoja aje pale jukwaani.... watu wengi wanao kaa nyumbani kama ma house girls, mashamba boi kwa sasa wanatizama sana star tv ili kuona wasanii lakini on the process ni wapiga kura na wanabadilishwa kuchagua ccm.... bado kuna wanao taka taarifa kwa kuwa wako mbali na kwa ujumla wake binadamu anacho kisikia na kukiona mara kwa mara ndo anacho kiamini..... ukawa amkeni kwenye hili.... hasa kwa hizi siku chache zilizo baki...
mabadiliko ni kwa wanaojitambua. kama umeumizwa na ccm huwezi subiri tv