UKAWA na changamoto zake - Dr Slaa na Lipumba - hatuwaelewi

To be honest moja ya watu niliowaamini sn upinzani ni Dr. Slaa ila kwa hili kachemka tena saaaana, sijaamini alichokifanya ila pia naamini hata yeye Dr haamini namna manowari inavozidi kukimbia, huyu Mbowe laiti angekuwa na elimu ya Dr Slaa dunia nzima ingemtambua, Kmnd Mbowe MUNGU AKUBARIKI sana, upo makini na unajua kusimama na sisi walalahoi

Mbowe kama Steve Biko,chriss Han,Joe Slove hawa wapigania uhuru Afrika ya Kusini walikua na misimamo na hawakuteteleka wala sijawahi ona katika historia zao wakijitenga au kususa au kuwasaliti watu weusi dhidi ya kaburu na alipouawa Stive Biko 1977 ndio aliamsha hari hata kwa wasiokuwa wanaharakati kama Jacob Zuma kukimbilia msumbiji na kuunda kikosi cha kupambana na makaburu lakini Zuma ambae ni raisi kwa sasa hakusoma hata darasa moja..
 
Slaa kashawaambia msimuhusishe kwenye dhambi ya uongo.

😎Kama kuitoa ccm tarehe 25 october ni matokeo ya dhambi hiyo tukotayari kuibeba dhambi husika ilimradi tuwatoe nyie ccm kupitia sanduku la kura na baada ya hapo tutatubu.
 
Dr. slaa inaeleweka kabisa kuwa yeye haivi na fisadi lowassa ndo maana tangia mwanzo hakuwai kumkalibisha ukawa, kwa upande wa lipumba ni kibaraka wa ccm ameona upinzani utakuwa na nguvu hivyo anataka kudhoofisha mambo
 
Slaa Mimi bado ninamatumaini nae sana, cha msingi ajue tu kwamba bado anahitajika kwenye ukombozi waTaifa hili kwa Mara ya pili
 
Ndugu zangu mimi si mwingi wa siasa, ila ninaamini sana katika mabadiliko. Viongozi wetu wa upinzani wamejitahidi sana kuonyesha dhamira za kutaka mabadiliko na kuwajali wananchi na sisi kwa kweli tumeshawishika sana sana sana na kuwapa support.

Baada ya changamoto, ukawa kuzaliwa, mambo yakasonga, sasa changamoto zimeanza, mara docta Slaa, Mara Lipumba sasa, na bado tuna mda kidogo mpaka uchaguzi, mengine mengi pengine yatatokea, na sisi watanzania tunasikitika sana, Je mna dhamira ya kweli ya kubadili huu utawala?

Lowassa anaweza kuwa na issue zake, ni sawa, lakini kwa wakati huu, kwa nini tusiweke target ya kuitoa CCM kwanza kama stage one? maana opportunity ni kubwa ya kufanya hivyo kama viongozi wetu watatulia na kuendeleza umoja, Mimi kwa kweli NAMKUBALI SANA MBOWE, na kwenye maombi yangu nitamkumbuka sana!

Acheni ubinafsi Jamani, tupeni opportunity ya kutuuanganisha watanzania na tuuondoe mfumo wa CCM kwa sasa na kuwa na kitu cha tofauti. Kweli najaribu sana kusikiliza sababu za Lipumba Ku resign na kutoka UKAWA, hazina mashiko hata kidogo, na kwa sababu hiyo napata wasiwasi sana sana sana, he has his own agendas.

Nyie ndugu zangu, adhabu yenu mbele za Mungu ni kubwa kuliko hata ya CCM, maana yake kama mna hila na ubinafsi ndani yenu, na mkikosa kupata mnayotaka mwatutelekeza, nyie mtakuwa si watu wazuri Kabisa.

Nina haya ya kusema kwanu (Lipumba na Dr Slaa - Kama kweli mmejitenga):

- We want change, and remove CCM, this is priority at any cost, hata kama Karamagi atasimama Ukawa.
- Msitugawanye jamani, narudia, msitugawanye jamani, tunawaamini, wekeni vipa umbele vyenu vizuri.
- Kama mna maslahi binafsi, wekeni taifa Mbele jamani, ni vyema kufanya hivyo.

Kumbukeni, mwanadam akiishi miaka mingi sana ni 90 or 100, hemu jitahidini kuandika historia kwenye mioyo ya watanzania. Mama zetu, Bibi Zetu wanateseka jamani. Hospital tabu, dawa shida, Dhuluma ni nyingi, acheni kujifikiria na muwafikirie watanzania, hata siku mkienda kwa muumba roho zenu zitatulia.

PLEASE, PLEASE, MSITUGAWE!
Hizo siyo sera za ukawa sasa hivi. Sera zao chukua kwanza weka kibindoni before its too late. Suala la sijui kugawa au kutogawa shauri yako. Potelea mbali, kwanza weka something then mengine will follow if necessary. Jitayarishe kuchukua matokeo yoyote tu yatakayokuja. Usijipe presha bure ukafa kabla ya siku wakati wengine wanatanua na mabilioni ya pesa
 
Ndugu zangu mimi si mwingi wa siasa, ila ninaamini sana katika mabadiliko. Viongozi wetu wa upinzani wamejitahidi sana kuonyesha dhamira za kutaka mabadiliko na kuwajali wananchi na sisi kwa kweli tumeshawishika sana sana sana na kuwapa support.

Baada ya changamoto, ukawa kuzaliwa, mambo yakasonga, sasa changamoto zimeanza, mara docta Slaa, Mara Lipumba sasa, na bado tuna mda kidogo mpaka uchaguzi, mengine mengi pengine yatatokea, na sisi watanzania tunasikitika sana, Je mna dhamira ya kweli ya kubadili huu utawala?

Lowassa anaweza kuwa na issue zake, ni sawa, lakini kwa wakati huu, kwa nini tusiweke target ya kuitoa CCM kwanza kama stage one? maana opportunity ni kubwa ya kufanya hivyo kama viongozi wetu watatulia na kuendeleza umoja, Mimi kwa kweli NAMKUBALI SANA MBOWE, na kwenye maombi yangu nitamkumbuka sana!

Acheni ubinafsi Jamani, tupeni opportunity ya kutuuanganisha watanzania na tuuondoe mfumo wa CCM kwa sasa na kuwa na kitu cha tofauti. Kweli najaribu sana kusikiliza sababu za Lipumba Ku resign na kutoka UKAWA, hazina mashiko hata kidogo, na kwa sababu hiyo napata wasiwasi sana sana sana, he has his own agendas.

Nyie ndugu zangu, adhabu yenu mbele za Mungu ni kubwa kuliko hata ya CCM, maana yake kama mna hila na ubinafsi ndani yenu, na mkikosa kupata mnayotaka mwatutelekeza, nyie mtakuwa si watu wazuri Kabisa.

Nina haya ya kusema kwanu (Lipumba na Dr Slaa - Kama kweli mmejitenga):

- We want change, and remove CCM, this is priority at any cost, hata kama Karamagi atasimama Ukawa.
- Msitugawanye jamani, narudia, msitugawanye jamani, tunawaamini, wekeni vipa umbele vyenu vizuri.
- Kama mna maslahi binafsi, wekeni taifa Mbele jamani, ni vyema kufanya hivyo.

Kumbukeni, mwanadam akiishi miaka mingi sana ni 90 or 100, hemu jitahidini kuandika historia kwenye mioyo ya watanzania. Mama zetu, Bibi Zetu wanateseka jamani. Hospital tabu, dawa shida, Dhuluma ni nyingi, acheni kujifikiria na muwafikirie watanzania, hata siku mkienda kwa muumba roho zenu zitatulia.

PLEASE, PLEASE, MSITUGAWE!
A word. Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom