uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,910
- 38,640
Ndugu zangu mimi si mwingi wa siasa, ila ninaamini sana katika mabadiliko. Viongozi wetu wa upinzani wamejitahidi sana kuonyesha dhamira za kutaka mabadiliko na kuwajali wananchi na sisi kwa kweli tumeshawishika sana sana sana na kuwapa support.
Baada ya changamoto, ukawa kuzaliwa, mambo yakasonga, sasa changamoto zimeanza, mara docta Slaa, Mara Lipumba sasa, na bado tuna mda kidogo mpaka uchaguzi, mengine mengi pengine yatatokea, na sisi watanzania tunasikitika sana, Je mna dhamira ya kweli ya kubadili huu utawala?
Lowassa anaweza kuwa na issue zake, ni sawa, lakini kwa wakati huu, kwa nini tusiweke target ya kuitoa CCM kwanza kama stage one? maana opportunity ni kubwa ya kufanya hivyo kama viongozi wetu watatulia na kuendeleza umoja, Mimi kwa kweli NAMKUBALI SANA MBOWE, na kwenye maombi yangu nitamkumbuka sana!
Acheni ubinafsi Jamani, tupeni opportunity ya kutuuanganisha watanzania na tuuondoe mfumo wa CCM kwa sasa na kuwa na kitu cha tofauti. Kweli najaribu sana kusikiliza sababu za Lipumba Ku resign na kutoka UKAWA, hazina mashiko hata kidogo, na kwa sababu hiyo napata wasiwasi sana sana sana, he has his own agendas.
Nyie ndugu zangu, adhabu yenu mbele za Mungu ni kubwa kuliko hata ya CCM, maana yake kama mna hila na ubinafsi ndani yenu, na mkikosa kupata mnayotaka mwatutelekeza, nyie mtakuwa si watu wazuri Kabisa.
Nina haya ya kusema kwanu (Lipumba na Dr Slaa - Kama kweli mmejitenga):
- We want change, and remove CCM, this is priority at any cost, hata kama Karamagi atasimama Ukawa.
- Msitugawanye jamani, narudia, msitugawanye jamani, tunawaamini, wekeni vipa umbele vyenu vizuri.
- Kama mna maslahi binafsi, wekeni taifa Mbele jamani, ni vyema kufanya hivyo.
Kumbukeni, mwanadam akiishi miaka mingi sana ni 90 or 100, hemu jitahidini kuandika historia kwenye mioyo ya watanzania. Mama zetu, Bibi Zetu wanateseka jamani. Hospital tabu, dawa shida, Dhuluma ni nyingi, acheni kujifikiria na muwafikirie watanzania, hata siku mkienda kwa muumba roho zenu zitatulia.
PLEASE, PLEASE, MSITUGAWE!