UKAWA msilalamike, Gabage In Gabage Out

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Julius Mtatiro anaainisha majina ya wabunge waliowekwa kwenye kamati ya PAC kutoka UKAWA kuwa hawana Kiwango.

Sasa swali ninalojiuliza kwa nini mfumo wa UKAWA uliteua wagombea wasio na kiwango??

Ni upuuzi kumlaumu spika....kwa sababu yeye anachagua kulingana na kilichopo...

GABAGE IN GABAGE OUT!
 
Hahahahahaaaaaa! Kama wabunge wenyewe wa UKAWA wengine wamepatikana kwa kulipana fadhila unategemea nini? Hahahahahaaaaaaaa
 
Kipindi cha uchaguzi waliwaita majembe....leo wanasema hawana uzoefu...weledi ...au kiwango.
 
Hahahahahaaaaaa! Kama wabunge wenyewe wa UKAWA wengine wamepatikana kwa kulipana fadhila unategemea nini? Hahahahahaaaaaaaa

Huu ni ujinga wa kiwango cha lami, hivi hata huko CCM wabunge wote wanalingana viwango? Hivi hamuoni umuhimu wa hiyo kamati? Kamati kama hiyo inapokuwa na wabunge wasiokidhi matarajio ya wengi shida itakuja kwa UKAWA? Au kwetu sote?

Nyie watu muwe mnajaribu kuficha ujinga wenu nyakati fulani. Jaji mstaafu jana kasema tatizo letu ni kuwa na viongozi wenye kuwa na misimamo ya kivyama kwenye mambo ya kitaifa
 
Hivi ni mbunge gani hasa wa upinzani ulitaka awe mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye unahisi ana kiwango?
Zaidi ya kuendekeza ulaji sioni umuhimu wowote wa mwenyekiti wa hizo kamati....ni utashi wa bunge zima utakaoleta tija ya kazi za bunge sio hizi bange za kupiga kelele ili kujenga mianya ya kupewa chochote.
 
Sasa kama mmeleta wabunge wenye elimu za hapa na pale ulitegemea nini
 
Eti wapinzani wanagomea kuchagua wenyeviti wa PAC/LAAC
 
Julius Mtatiro anaainisha majina ya wabunge waliowekwa kwenye kamati ya PAC kutoka UKAWA kuwa hawana Kiwango.

Sasa swali ninalojiuliza kwa nini mfumo wa UKAWA uliteua wagombea wasio na kiwango??

Ni upuuzi kumlaumu spika....kwa sababu yeye anachagua kulingana na kilichopo...

GABAGE IN GABAGE OUT!
Akili yako naona bado ipo ndani ya box na ufunguo kaondoka nao nape
 
Hivi ni mbunge gani hasa wa upinzani ulitaka awe mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye unahisi ana kiwango?
Zaidi ya kuendekeza ulaji sioni umuhimu wowote wa mwenyekiti wa hizo kamati....ni utashi wa bunge zima utakaoleta tija ya kazi za bunge sio hizi bange za kupiga kelele ili kujenga mianya ya kupewa chochote.
Jingalao na wewe
 
Back
Top Bottom