UKAWA Mnatupa wasiwasi!!

UKAWA Mnatupa wasiwasi!!

Lincon

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
465
Reaction score
112
Ikiwa inaelekea uchanguzi mkuu oct na imebaki miezi michache!

Naona UKAWA wanazidi kuwaachia CCM mwanya wa kuingia ikulu mchana kweupe!

UKAWA Oct msipo ingia ikulu nahakikisha nachukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi!
 
Ikiwa inaelekea uchanguzi mkuu oct na imebaki miezi michache! Naona UKAWA wanazidi kuwaachia CCM mwanya wa kuingia ikulu mchana kweupe! UKAWA Oct msipo ingia ikulu nahakikisha nachukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi!

Chukua tu kadi Wewe.... Naon Unaweweseka
 
Back
Top Bottom