Nakumbuka siku anaapa kuchukua uwaziri mkuu alisema atawapatia watanzania utumishi uliotukuka, bahati mbaya sana hakutupatia huo utumishi uliotukuka na matokeo yake hata wewe unayafahamu.Lowassa apige Kampeni, au asipige sio Issue sana, cha muhimu sisi wapiga kura tumeshamuelewa, utumishi wake uliotukuka unajulikana pia lengo kuu ni kuiondoa CCM madarakani ili tuanze kujenga taifa letu upya!
Hilo neno lipo kwenye Biblia na maana yake ipo una jipya tukusaidie.